sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Nov 22, 2015 #17,021 Ila tuache utani kiba anajua mpaka raha. Mfalme wa masauti. Na dai anajua pia. Wote wanajua. to be honest #nagharamia ipo poa sana..
Ila tuache utani kiba anajua mpaka raha. Mfalme wa masauti. Na dai anajua pia. Wote wanajua. to be honest #nagharamia ipo poa sana..
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Nov 22, 2015 #17,022 sumbai said: Ila tuache utani kiba anajua mpaka raha. Mfalme wa masauti. Na dai anajua pia. Wote wanajua. to be honest #nagharamia ipo poa sana.. Click to expand... Kwakweli shemeji umeifanya asubuhi yangu iwe njema sana,ngoja niishie hapa ila pongezi zake cute b. Ameplay part yake vyema..... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sumbai said: Ila tuache utani kiba anajua mpaka raha. Mfalme wa masauti. Na dai anajua pia. Wote wanajua. to be honest #nagharamia ipo poa sana.. Click to expand... Kwakweli shemeji umeifanya asubuhi yangu iwe njema sana,ngoja niishie hapa ila pongezi zake cute b. Ameplay part yake vyema.....
Jhaxan JF-Expert Member Joined Oct 11, 2015 Posts 403 Reaction score 191 Nov 22, 2015 #17,023 nifah said: Hebu niacheni mie niko busy kusaka salary. Sina muda wa fu.c.k.i. n.g arguments kama zamani. Wimbo ni mzuri kama kawaida ya Kiba,anajulikana hanaga single mbovu. Click to expand... Huko bize kama msanii wenu KIBAKULI kupiga shows uchwala na kukacha tuzo #MSHANYOOKA
nifah said: Hebu niacheni mie niko busy kusaka salary. Sina muda wa fu.c.k.i. n.g arguments kama zamani. Wimbo ni mzuri kama kawaida ya Kiba,anajulikana hanaga single mbovu. Click to expand... Huko bize kama msanii wenu KIBAKULI kupiga shows uchwala na kukacha tuzo #MSHANYOOKA
borncool JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 226 Reaction score 49 Nov 22, 2015 #17,024 Jhaxan said: Huko bize kama msanii wenu KIBAKULI kupiga shows uchwala na kukacha tuzo #MSHANYOOKA Click to expand... Et show uchwara!,.. kwendraaa hukooo
Jhaxan said: Huko bize kama msanii wenu KIBAKULI kupiga shows uchwala na kukacha tuzo #MSHANYOOKA Click to expand... Et show uchwara!,.. kwendraaa hukooo
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Nov 22, 2015 #17,025 sumbai said: Ila tuache utani kiba anajua mpaka raha. Mfalme wa masauti. Na dai anajua pia. Wote wanajua. to be honest #nagharamia ipo poa sana.. Click to expand... Yes huyu ndio mume wangu kipenzi... Baby #gharamia
sumbai said: Ila tuache utani kiba anajua mpaka raha. Mfalme wa masauti. Na dai anajua pia. Wote wanajua. to be honest #nagharamia ipo poa sana.. Click to expand... Yes huyu ndio mume wangu kipenzi... Baby #gharamia
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Nov 22, 2015 #17,026 nifah said: Kwakweli shemeji umeifanya asubuhi yangu iwe njema sana,ngoja niishie hapa ila pongezi zake cute b. Ameplay part yake vyema..... Click to expand... Unazani baby wangu ana shida basi... sema anapenda kupanikisha watu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
nifah said: Kwakweli shemeji umeifanya asubuhi yangu iwe njema sana,ngoja niishie hapa ila pongezi zake cute b. Ameplay part yake vyema..... Click to expand... Unazani baby wangu ana shida basi... sema anapenda kupanikisha watu
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Nov 22, 2015 #17,027 cute b said: Unazani baby wangu ana shida basi... sema anapenda kupanikisha watu Click to expand... Nagharamia..
cute b said: Unazani baby wangu ana shida basi... sema anapenda kupanikisha watu Click to expand... Nagharamia..
Jhaxan JF-Expert Member Joined Oct 11, 2015 Posts 403 Reaction score 191 Nov 22, 2015 #17,028 borncool said: Et show uchwara!,.. kwendraaa hukooo Click to expand... We need to take you together with ur Kibakuli to a nursery school to learn Swahili writing more ...kwendra =kwenda? #mshanyooka Vibakuli
borncool said: Et show uchwara!,.. kwendraaa hukooo Click to expand... We need to take you together with ur Kibakuli to a nursery school to learn Swahili writing more ...kwendra =kwenda? #mshanyooka Vibakuli
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 8,390 Reaction score 10,465 Nov 26, 2015 #17,029 napita
Carbondioxide JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 733 Reaction score 195 Nov 26, 2015 #17,030 nachungulia.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Nov 26, 2015 #17,031 LIKE Niku ADD said: napita Click to expand... Carbondioxide said: nachungulia. Click to expand... Heheheheee
LIKE Niku ADD said: napita Click to expand... Carbondioxide said: nachungulia. Click to expand... Heheheheee
kilimbamula JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,792 Reaction score 853 Nov 30, 2015 #17,032 Nyumba hii imefungwa rasmi wenyewe wamehama. Wageni nendeni nyumba ya jirani mtawakuta watu kule.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Nov 30, 2015 #17,033 kilimbamula said: Nyumba hii imefungwa rasmi wenyewe wamehama. Wageni nendeni nyumba ya jirani mtawakuta watu kule. Click to expand... Mkuu watu wanagharamia ha ha haaaaa watafungaje nyumba
kilimbamula said: Nyumba hii imefungwa rasmi wenyewe wamehama. Wageni nendeni nyumba ya jirani mtawakuta watu kule. Click to expand... Mkuu watu wanagharamia ha ha haaaaa watafungaje nyumba
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Nov 30, 2015 #17,034 kilimbamula said: Nyumba hii imefungwa rasmi wenyewe wamehama. Wageni nendeni nyumba ya jirani mtawakuta watu kule. Click to expand... Acha hizo wewe,wewe kama nani?
kilimbamula said: Nyumba hii imefungwa rasmi wenyewe wamehama. Wageni nendeni nyumba ya jirani mtawakuta watu kule. Click to expand... Acha hizo wewe,wewe kama nani?
kilimbamula JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,792 Reaction score 853 Nov 30, 2015 #17,035 nifah said: Acha hizo wewe,wewe kama nani? Click to expand... Dada upo, salama lakini? Vijana wetu ndo burudani zetu wapo kimyaa. Naona wimbi la siasa linataka kuwafunika. Siasa za uchaguzi zimekwisha tupate burudani. Nimekumiss nifah na jopo lako.
nifah said: Acha hizo wewe,wewe kama nani? Click to expand... Dada upo, salama lakini? Vijana wetu ndo burudani zetu wapo kimyaa. Naona wimbi la siasa linataka kuwafunika. Siasa za uchaguzi zimekwisha tupate burudani. Nimekumiss nifah na jopo lako.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Nov 30, 2015 #17,036 kilimbamula said: Dada upo, salama lakini? Vijana wetu ndo burudani zetu wapo kimyaa. Naona wimbi la siasa linataka kuwafunika. Siasa za uchaguzi zimekwisha tupate burudani. Nimekumiss nifah na jopo lako. Click to expand... Mimi nimekumiss pia,ila mustakabali wa nchi ndio kila kitu,muziki baadae.
kilimbamula said: Dada upo, salama lakini? Vijana wetu ndo burudani zetu wapo kimyaa. Naona wimbi la siasa linataka kuwafunika. Siasa za uchaguzi zimekwisha tupate burudani. Nimekumiss nifah na jopo lako. Click to expand... Mimi nimekumiss pia,ila mustakabali wa nchi ndio kila kitu,muziki baadae.
kilimbamula JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,792 Reaction score 853 Nov 30, 2015 #17,037 nifah said: Mimi nimekumiss pia,ila mustakabali wa nchi ndio kila kitu,muziki baadae. Click to expand... Upo sahihi dada, ngoja tuone atatuwekea kina nani. Haya turudi kwenye majukwaa yetu ya siasa. Nao huko naye pwilo kakita kambi.
nifah said: Mimi nimekumiss pia,ila mustakabali wa nchi ndio kila kitu,muziki baadae. Click to expand... Upo sahihi dada, ngoja tuone atatuwekea kina nani. Haya turudi kwenye majukwaa yetu ya siasa. Nao huko naye pwilo kakita kambi.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Nov 30, 2015 #17,038 kilimbamula said: Upo sahihi dada, ngoja tuone atatuwekea kina nani. Haya turudi kwenye majukwaa yetu ya siasa. Nao huko naye pwilo kakita kambi. Click to expand... Kwa sasa siasa haikwepeki kwakweli. Ngoja na tuone
kilimbamula said: Upo sahihi dada, ngoja tuone atatuwekea kina nani. Haya turudi kwenye majukwaa yetu ya siasa. Nao huko naye pwilo kakita kambi. Click to expand... Kwa sasa siasa haikwepeki kwakweli. Ngoja na tuone
Carbondioxide JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 733 Reaction score 195 Dec 1, 2015 #17,039 Hili ndo jukwaa LA Ali ki iba?mmmh! wazima umuh.?nilikuwa natoa salamu,naennda jukwaa langu kila kukicha Tuzo.Mko poa akinagharamia?
Hili ndo jukwaa LA Ali ki iba?mmmh! wazima umuh.?nilikuwa natoa salamu,naennda jukwaa langu kila kukicha Tuzo.Mko poa akinagharamia?
borncool JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 226 Reaction score 49 Dec 4, 2015 #17,040 Carbondioxide said: Hili ndo jukwaa LA Ali ki iba?mmmh! wazima umuh.?nilikuwa natoa salamu,naennda jukwaa langu kila kukicha Tuzo.Mko poa akinagharamia? Click to expand... Si lazma upite humu
Carbondioxide said: Hili ndo jukwaa LA Ali ki iba?mmmh! wazima umuh.?nilikuwa natoa salamu,naennda jukwaa langu kila kukicha Tuzo.Mko poa akinagharamia? Click to expand... Si lazma upite humu