kumbe pesa ipo mimi walaa ukiwa na pesa wala hata siangalii sura mimi naheshimu pesa.
Na ukiwa na pesa wew ni hbizoo tayari nitafute bhanaa....au niambie upo wapi mimi nije acha woga.. sawa hb?
Ms.Lincoln wapi nimeyasifia maumbile ya DIAMOND????????? na kama unayaingizia yale ya kidoti MIMI NIMEMKARIRI YEYE MWENYEWE AKIMSIFIA THABITI KUWA NDO MWANAUME ALIYEMRIDHISHA.
Haya maneno yanawafaa wa miaka 14-20 ndo watapagawa nayo, ila mimi kwa sasa nahisi kama unanitukana ukikutana namimi taja dau lako kisha kila mtu anashika njia yake .
Haya maneno yanawafaa wa miaka 14-20 ndo watapagawa nayo, ila mimi kwa sasa nahisi kama unanitukana ukikutana namimi taja dau lako kisha kila mtu anashika njia yake .