Huu uzi umekuwa mchungu kwangu zaidi ya shubiri....
Pia nikifikiria machungu niliyoyapata baada ya dada yangu kipenzi #Avemaria kunitumia pm ya kuniaga nazidi kuuchukia huu uzi!
Tukutane November huko labda.
Sababu kubwa nahisi ni kufutiwa comments zake maana alishanilalamikia sana nikamuomba ajikaze lakini naona imekuwa too much hadi akaona bora ajiondokee zake.
Nasema nahisi sababu wakati ananitumia hiyo PM ya kuniaga mimi nilikuwa sipo JF almost 2 weeks.
Asante sana cute b,hakika inauma sana.

Kiukweli mods wanakera sana,kama mimi wamenifutia comment yangu niliyoponda utafiti wa TWAWEZA.
Kama sio nina mambo yangu mengi humu ningeihama JF tu na mimi maana sio baba wala mama yangu!