Hunizidi mimi maana jana kidogo niingie aibu, nilikua sehemu ya heshima mara mwana ikapigwa...
Uwiiiiii! Nilidata kidogo ninyanyuke kwenye kiti niserebuke!
Hunizidi mimi maana jana kidogo niingie aibu, nilikua sehemu ya heshima mara mwana ikapigwa...
Uwiiiiii! Nilidata kidogo ninyanyuke kwenye kiti niserebuke!
siyo 175m tu?more than that.....ally namjua mimi si wa katika media...nakupa homework!...ulizia ally alivyokuwa hasikiki kwenye media alikuwa anaishi maishi yapi?........ogopa sana damu za watoto wa ilala na kariakoo ambao kuna chocho flani walishazigusa!....ally tunamuona instagram na mafacebook kwakuwa imebidi tu ila siyo mitkasi yake yeye na hata wanae wa dhati.....hilo balaa lililofanyika juzi ambalo lilimlazimu aje bongo one time kutoka kenya kuvuta hizo million 20s nna hakika wangekuwa watu wa perepete hao wanae, mzizima ingesimama!ila watu kimyakimya kama hakijatokea kitu
Huu uzi umekuwa mchungu kwangu zaidi ya shubiri....
Pia nikifikiria machungu niliyoyapata baada ya dada yangu kipenzi #Avemaria kunitumia pm ya kuniaga nazidi kuuchukia huu uzi!
Tukutane November huko labda.