Kiba namkubali kwa mengi sana, always najifunza mengi kupitia yeye.
Kama hiyo picha yake na Salaam ni kua usilipe ubaya kwa ubaya, sijui huyo jamaa kapata aibu kiasi gani.
Mbaya sana mtu unamfanyia ubaya halafu yeye wala hajali anacheka na wewe as if hakuna lililowahi kutokea.