●izo links nenda kwenye sehemu inayoenekana hapo chini kwa mshale huo...
Kisha ingiza link moja moja kwa kila kitu kilichopo kama nilivyokiweka mie usipunguze wala kuongeza ili ziwe LIVE LINKS AMBAZO MTU AKIBONYEZA ZINAMPELEKA MOJA KWA MOJA KWENYE WEBSITE YA KUVOTE...USIZICOPY NA KUPASTE HAZITAKUWA LIVE LINKS.
matola acha kuzingua bhana nimeshakuwekea links mbona huziattach kwenye post yako pale juu?..kama ishu ni ukawa wote tupo pamoja lakini fanikisha hili kwanza...maana baada ya uchaguzi tutashindwa kuangaliana humu kwenye uzi wetu maana uchaguzi utapita alafu tutaanza kuletewa tambo nyingi hadi tukimbie uzi maana tunaweza kosa tuzo za kiba kwa kutofanya vitu vidogo tuu tena simple kabisa...fanya hivyo sasahivi ndugu!