Ali Kiba Fans' Special Thread...

halafu hayupo jf id inaonyesha yupo insta anatukana wallah dume zima kuchambana insta sijui anatafuta nn #tushanyooka tayari


Kiukweli hapa napata picha halisi kuwa huyu dogo ni mshirikina kiasi gani...na naomba TEAMMONDI waje sasaivi kujibu jibu izi shutuma haraka na watuambie kabisa hapa huyu Mondi wao alikusudia nini kufanya hivi kama sio mshiirikina na hayo ndo masharti ya mgangà wake???...bhasi wakubali alikuwa yupo matangazoni kutafuta bwana...maana BIASHARA MATANGAZO BHANA!!!
 
Aisee pwilo nakuomba usichafue jina langu cjawahi tukana insta n hata cku moja ujawahi niona namtukana kiba hapa huyo sio Mimi me najiheshimu cwezi tukana ovyo n cjawahi mtukana huyo kiba wenu


Kiukweli hapa napata picha halisi kuwa huyu dogo ni mshirikina kiasi gani...na naomba TEAMMONDI waje sasaivi kujibu jibu izi shutuma haraka na watuambie kabisa hapa huyu Mondi wao alikusudia nini kufanya hivi kama sio mshiirikina na hayo ndo masharti ya mgangà wake???...bhasi wakubali alikuwa yupo matangazoni kutafuta bwana...maana BIASHARA MATANGAZO BHANA!!!
-TEAMONDI NJOONI MJIBU ILI HARAKA SANA.
 
Last edited by a moderator:

Hatuna muda wa kujadili na kubishana ujinga endelea kuamin unacho kiamin...mybe itakusaidia...
Tupo bize tunavote
 

Ebhana popote ulipo mkuu matola unatakiwa kuweka link ya AFRIMMA hapo juu kwenye hii post yako ili iwe rahisi kwa watu wasiokuwa na link kuvote wanapotembelea uzi wetu huu maana sio kila viewers ni member wa JF,pia TEAMKIBA naomba tuwe SERIOUS katika hili na itambulike tukifanya utani KIBA atakosa hii tuzo...naomba tena nieleweke vyema hapa TUNATAKIWA KUVOTE KWELI NA SIO UNAGUSA MARA 10 ETI USHAVOTE INATAKIWA IWE NON-STOP IYO...UKIANZA KUVOTE UNAPIGA HADI MARA 500 IVI ALAFU NDO UNATULIA THEN UNAWEZA ENDELEA KAMA UNA UWEZO NA UNAPENDA KUENDELEA AU UKAACHA...MAANA HAPO KWA SIKU MINIMUM KURA JERO KWA MTU MMOJA TOSHA KABISA,pia msione kimya kidogo...pindi napokuwa nipo offline humu huwa nafanya kampeni heavy for the king juu ya ile tuzo anayowania na mpaka sasa nimepata mafanikio kama asilimia 45℅ ivi na hadi kufikia nusu ya mwezi ujao nitakuwa nimefanikiwa 100℅.

-MUHIMU TUZINGATIE HAYA ILI KIBA ASHINDE!!!
*TUSIPENDE KUBISHANA NAO SANA KILA MARA NA BADALA YAKE TWENDE TUKAVOTE KULE AFRIMMA...SISI YETU KAZI TU.

*TUKUMBUKE KUBOFYA ILE BUTTON YA "RETURN TO VOTE POLL"...KILA TUNAPOPIGA KURA MOJA ILI TUWEZE KUENDELEA TENA MARA NYINGI TUWEZAVYO,ISIWE IKAWA UNAPIGA MARA MOJA TU ALAFU WAKISHAKWAMBIA "THANK YOU WE HAVE ALREADY COUTED YOUR VOTE" UNAACHA NDO UMEMALIZA.

*PIA TUKUMBUKE KUWA SISI TUPO KWENYE CATEGORY MOJA TU YANI "BEST MALE EASTAFRICA" HIVYO UNAPOONA WEBSITE YA AFRIMMA IMEKUWA NZITO HAMNA HAJA YA KUVOTE KWA WENGINE KWA MAANA MUDA UNAKWENDA PIA IVYO BAADA YA KUGAWANYA KURA TUKOMAE KWA KIBA KWANZA THEN ZIKITOSHA UNAWEZA KWENDA KWA MWENGINE,NA HII NI FAIDA SANA KWETU MAANA KWA WENZETU WANA CATEGORY 7...HIVYO HAWANA UJANJA NI LAZIMA WAGUSE KOTE HUKO NA PINDI ILE WEBSITE INAPOKUWA NZITO NDO WANAZIDI KUPOTEZA,KWAMAANA HALISI ILI NIELEWEKE VIZURI NI KWAMBA PINDI MTU MMOJA WA TEAMONDI ANAPOPIGA KURA 7 KWA KILA CATEGORY YA MONDI SISI KWETU MTU MMOJA ANAKUWA AMEPIGA KURA SABA KWENYE CATEGORY 1 TU KWA KIBA NA KAMA TUTAKUWA FASTER TUNAWEZA KWENDA MARA MBILI YAO KWA UWIANO WA MTU MMMOJA KWAO AKIPIGA KURA 7 KWA CATEGORY 7 ZA MONDI SISI KWETU MTU 1 ANAWEZA PIGA KURA 14 KWENYE CATEGORY 1 TU KWA KIBA,MAANA WAO WANAPOTEZA MUDA KUSCROLL CHINI ILI WAKUTE ZILE CATEGORY ZOTE 7 ZA MONDI...WAKATI SISI HATUSOGEI CHINI TUPO KWENYE CATEGORY MOJA PALE PALE.

*TUKUMBUKE KAMA KWELI TUNAITAKA HII TUZO IJE KWA KIBA PINDI TUNAPOONA WEBSITE NI NZITO TUSIPIGE KURA KWA WENGINE KWANZA NA HASA KWA AMBAO SIO WATZ YANI TUWEKEZE KWA KIBA KWANZA HADI ZIKITOSHA THEN TUNAWEZA TUKAWAPIGIA WENGINE LAKINI SIO MONDI MAANA TUPO NAE KIPENGELE KIMOJA ALAFU NILIONGEA FAIR KABISA NA TEAMONDI KWA NIA YA KILA MTU WA KILA TEAM AWAPIGIE WOTE YANI KIBA NA MONDI AT THE SAME TIME ILI TUZO ZIJE TZ ZOTE LAKINI WAO KWA ROHO MBAYA ZAO WAKAKATAA NA KUSEMA "HAKUNA KUUNGANA NA MUUNGANO NI KWENYE UCHAGUZI OCTOBER BHASI NA SIO KWA HILI" INAMAANA WAO HAWATAMPIGIA KURA KIBA KABISA ILI TU KIBA AKOSE ATA HIYO MOJA ALIPOKUWA NOMINATED...SASA KAMA WAO WAMEAMUA IVYO KWA NINI SISI TUVOTE KWA MONDI WAO???,NARUDIA TENA KWA TEAMKIBA WOTE HAKUNA KUVOTE KWA MONDI ATA KAMA KWENYE CATEGORY HUSIKA HAYUPO NA KIBA MAANA TUTAKUWA TUNAPOTEZA MUDA WAKATI WENZETU HAWAMPIGII KIBA,WALIJIBU ILO BILA KUFIKIRIA KWA UNDANI WAO WANATAKIWA WAWE NA KURA NYINGI SANA ILI WASHINDE TUZO ZOTE SITA NA SISI TUPATE ILE MOJA TU,NI HAYO TU WAKUU.


**KWA TEAMKIBA WOTE POPOTE WALIPO TUZINGATIE HAYO**
 

Mwanzoni maelezo yako nliyaona ya maana na unaakili juu ya kuhamasisha watu kupiga kura

Mwishoni nikakuona kichwa panzi tuu yani unaendelea kuhamasisha team zako za ajabu ajabu eti hakuna kuvote kwa mond...mjinga saana wewe
Sasa badala ya kuwaelimisha watu kuhusu athari za team wewe una chochea sasa ujue kwamba ni vigumu sana kwa hawa wasanii wote kupata tuzo ikiwa bifu za kijinga zinaendlea na wewe ukiwa mmoja wapo wa hizo bifu


Binafsi nmekuwa nkivote kwa watu wote kiba na dai lakin baada ya kuona utumbo wako huu naona kama sina sababu ya kumpigia kura kiba..


Acha kuchochea bifu..kwa kuendeleza bifu hata kwa kiba itakuwa vigum yeye kuchukua hiyo tuzo...
 
Nimekupata sana mkuu Pionaire...nitaendelea kufanya hivyo
 
Last edited by a moderator:

Sikia wewe jamaa,kama mimi ni kichwa panzi wewe ni "NI KICHWA MENDE KABISA TENA WALE WA CHOONI WANAOKULA MAVI",alafu unaposema mimi ni mjinga kabisa wewe ni "MPUMBAVU WA KUPINDUKIA",unaposema ulimpigia kura kiba tambua pia wapo TEAMKIBA waliopigia mondi kura pia ivyo usijikute INNOCENT KIIVYO SAWAA?,Na unaposema nianze kuelimisha watu juu ya izi TEAMS...je wewe ulishafanya hivyo??..pia unanilipa kwa muda nitakaopoteza kuelimisha hao watu wako???...maana si kazi ndogo ikiwa kuna mwenzenu yule anaitwa "data" alisema vizuri tuu kuwa teams sio nzuri lakini nyie mkamwambia hizi TEAMS haziwezi kufa na ni ndoto hiyo...JE NDO NITAWEZA MIE KUZIONDOA????...alafu pia tambua SINA MDA HUO WA KUELIMISHA WATU JUU YA TEAMS ZISIZOKUWA NA MWISHO...KULIKO KUPOTEZA MUDA HUO NI BORA NIKAVOTE KULE AFRIMMA KWA KIBA JOMBAA,Alafu jiheshimu kwanza maana ulitakiwa kujuaa kwanini nimeandika hayo...sawaa?????:...NENDA SASAIVI KAPEKUWE ULE UZI WANGU NILIOULETA HAPA JUKWAANI KUHUSU "AFRIMMA AWARDS" alafu uone mavi waliyoyasema wenzio juu ya kiba na mpango mzuri niliosema kule mpaka wakakataa na kusema "HAKUNA KUUNGANA HAPA HADI UCHAGUZI OCTOBER NA SIO KWENYE HILI" maana bora ya mie niliyeongea huo utumbo uliosema kuliko MAVI waliyosema wenzio kule,alafu acha janja yako ya kujifanya eti ULIKUWA UNAVOTE KWA KIBA...as long ninakujua wewe unavyompondaga kiba hapa jukwaani huwezi kumpigia kura pale na mondi wako akiwepo...na kama wewe ulifanya ivyo kwa KIBA basi pole ndugu maana wenzako walikataa kule kwenye uzi wangu kuvote kwa KIBA na kusema "TUZO ZOTE NI ZA MONDI LAZIMA ASHINDE MAANA ANAMASHABIKI WENGI HADI NJE YA NCHI NA HAWAITAJI KUUNGANA"...sasa sijui mapovu yako unayatoa wapi kijana??????...au "AKINYA KUKU SAWA LAKINI BATA KAHARISHA SIO???????"...pia tambua haya yanayotokea ni CONSEQUENCES ZIAZOTOKANA NA NYIE KUMDHARAU KIBA KWENYE UWEPO WETU SAWAA????????...NA MKUMBUKE KILA MTAKAPOMWAGA MBOGA SISI TUTAMWAGA UGALI NA MAJI YA KUNAWIA SAWA KIJANA?????????.
**NA SIGN OUT NOW SITAKI KERO ZA NOTIFICATION ZENU MAANA NAJUA NIMEWAGUSA PABAYA LAZIMA MPAYUKE SANA TUU.....'AM GOING TO VOTE 4 KIBA RIGHT NOW!!!
 

Ndio maana una akili ndogo..tuu kazi kutoka povu na kuhamasisha tim za kijinga..
 

Ungekuwa na akili unge hamasisha watu wampigie kura kiba...hilo hata mimi siwez kukupinga..
But hoja ya kusema kwamba unavote kwa mtu mwingine kwenye kategory nyingine..its okey ni willing yako..ila huu ndio ujinga na kutokuwa na akili...ila kwa vile huna akili endelea kusimamia huo ujinga..
 
Nimekupata sana mkuu Pionaire...nitaendelea kufanya hivyo

Pamoja sana nifah,hiyo ndo dawa pekee iliyobakia kwa hawa jamaa maana hamna namna tena,"WAO WAKIMWAGA MBOGA SISI TUTAMWAGA UGALI NA MAJI YA KUNAWIA"...Then guess what w'll happen???
 
Last edited by a moderator:
Aisee asante kutujuza hata mi insta nilisha notice kitu kama hiki comments zinafanana na jf kumbe ndo wale wale sema huku hawatukani kule ndo kujimwaga#Kiba anawahangaisha hawa pamoja na u local wake mweeeh.
 
Last edited by a moderator:

Shemeji jamani piga kura.
Mengine mwachie mwenyewe.
 
Hard work pays always chibu dangote mond bin laden 🙌🙌🙌🙌🙌
 

Attachments

  • 1437861540821.jpg
    60.6 KB · Views: 137
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…