kashtaki tatizo nyie sujui mkoje yule meneja wa domo salaam sk akisema management ya kiba anaiba nyimbo zake anaziuza sasa kashtaki unganisha na hiyo kesi ya tuzo tulizoiba nendeni mahakamani sawa kedrick #tushanyooka
asante mkuu huu ndo ushabiki sasa mbona kiba alivyozingua tulimwambia sumbai ww ni mfano wa kuigwa na wenzako kama kedrick yeye kila kitu ndio kama wabunge wa ccm big up shem wetu
asante mkuu huu ndo ushabiki sasa mbona kiba alivyozingua tulimwambia sumbai ww ni mfano wa kuigwa na wenzako kama kedrick yeye kila kitu ndio kama wabunge wa ccm big up shem wetu
Naona dawa ya #TumeshanyookaInameniBasi imekukolea vilivyo maana mpaka unabadili upepo kwa kuleta habari za siasa huku na hasa kuhusu wema...
Akuuuhhh, humpotezi mtu hapa.
Nyie si mlikua mnajishaua? Pokeeni matokeo kwa mbwembwe Vilevile maana mliomba kwa mbwembwe sana.