Huyo STAN BAKORA ndio nani?.Na ana manufaa gani kimziki?
Jamani, shule muhimu sana.Muwe mnamshauri vitu vya maana.Tunaoumia ni sisi mashabiki zake.
Yani hii pointless my dear
huyo stan bakora ndio nani?.na ana manufaa gani kimziki?
Jamani, shule muhimu sana.muwe mnamshauri vitu vya maana.tunaoumia ni sisi mashabiki zake.
Yani hii pointless my dear
Oya oya baby collaboooo collaboooo i know u want this collabooooo collabooo, na collaboooooo hahahhahahahah. Ohhh msaniii local hahahhahahahaa yani lazima mbowwwww kwa le king.
Naona wewe unalipwa full time job ya kushinda humu kwa kiba hahahaahah, kazi unayo bibie. vipi domo keshaanza kujifua kwa ajili ya kunengua huko kilimanjaro hahhhahaa.wapiiiii iyobo, mpeni tuzo yake bana