Hahahahaaaa naona mtaa wa pili wameiga wazo letu la special thread....
please guys waacheni wafanye yao,nawaombeni sana nisiwaone kule kwa vyovyote vile hata Kiba akipondwa vipi...
Hop wote ni waelewa,tumeelewana...
hahahaaa nilienda kuwapa ukwi sie hatunaga chuki wala ugomvi na team kudandia nyota za mademu
bila mademu no kick weraaaaaaa
matola uko wapi our herrrrrrooooooo
Jana nimemaliza kazi usiku sana na leo naamka na paper work lakini nafanyia home tupo pamoja, nimecheka kweli mtaa wa pili wametuiga bila hata kutupa credit, wana roho mbaya hawa jamaa!!
Jana nimemaliza kazi usiku sana na leo naamka na paper work lakini nafanyia home tupo pamoja, nimecheka kweli mtaa wa pili wametuiga bila hata kutupa credit, wana roho mbaya hawa jamaa!!
mashabiki wa ally kiba wajumuike hapa kumpa ushauri what is next baada ya mashabiki kuonesha mapenzi yao ya dhati kwa kiba kwenye fiesta na kuandika historia mpya tanzania.
Mimi kama matola nitatumia effort zangu binafsi kuhakikisha nakutana na kiba na manegement yake ili kuwapa mikakati ya mfalme huyu aweze kuutunza huu ufalme wake.
la kwanza niko tayari kutoa tshirt za kiba zenye kiwango ambapo shughuri ya kuziandaa kuna kampuni iko south africa inaweza kuleta tshirt katika viwango vya usa.
nisaidieni kuwaita wadau ili tumtengeneze ally kiba sasa na nitahakikisha anafunguwa id hapa kwa jina lake ili kujibu maswali ya wadau pale patakapokuwa na ulazima wa yeye kufanya hivyo. Yeye siyo wa level ya instagram.