Jamani naona hakuna aliyeweza wala kuthubutu kutibua 'nyongo' yangu hadi sasa hivi...
Anyways...huu ni ushindani wa kutoa stress tu I am not serious ....
Naomba turudi kwenye content hasa ya hii thread na sio umbea jamani!!!!
Khaa watu wana mambo hapa mjini...yani mtu usimamishe mishipa ya kiss me kisa Diamond na Ali Kiba...khaaaa....
Hahahaaaaa bado sanaaaa....
Niliyemchefua pole yake...Muda wa kujibizana sinaaa....