Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
- Thread starter
-
- #621
Diamond na Kiba wote ni wasanii wa kitanzania. Ninyi mnaojiita wapenzi, mashabiki, washangiliaji, na mengine. Vijana wanafanya kazi ili wajikwamue kimaisha. Acheni kuwagombanisha, acheni kuwafarakanisha, wapeni ushauri wapendani. Msiwe na roho mbaya kiasi hicho ndugu zangu. Wengine humu umri wao ni Mkubwa Mara tatu au mbili kwa mondi au kiba. Kwa nini wewe MTU mzima usiwashauri hao watoto wapatane waitangaze nchi kupitia music?
Mbona unajitesa sanaaaa omame omamee,omame haya mameee aaaeeee...
Uwiii rhumba limekoleaje???
Diamond na Kiba wote ni wasanii wa kitanzania. Ninyi mnaojiita wapenzi, mashabiki, washangiliaji, na mengine. Vijana wanafanya kazi ili wajikwamue kimaisha. Acheni kuwagombanisha, acheni kuwafarakanisha, wapeni ushauri wapendani. Msiwe na roho mbaya kiasi hicho ndugu zangu. Wengine humu umri wao ni Mkubwa Mara tatu au mbili kwa mondi au kiba. Kwa nini wewe MTU mzima usiwashauri hao watoto wapatane waitangaze nchi kupitia music?
Hamna aliyowagombanisha humu, huu uzi ulikuwa maalumu kwa Ally Kiba. Kama fans wa Ally Kiba tulikuwa tunabadilishana mawazo na kujadili jinsi gani kumtengenezea njia msanii wetu awe na mafanikio zaidi fullstop
Mbona hujamalizia na wao wakaingilia uzi wetu kutuchokoza???Sisi tunataka kujadiliana kuhusu Kiba wao kinachowaleta huku ni nini?

Maneno kuntuuu!Hawajaitwa hapa...Na hakuna hasara pia....kwani Kiba si ndo tushamchagua??
Wenye hila za kunyea unga ili watu wasile na wapite kushotoooo!
Wachawi wa nchii hii hawatoki ulaya eti...... Ni watanzania wenyewe ndio ambao wanafanyiana uchawi. Huu mnaoufanya ni uchawi acheni kutia chumvi kwa hao watoto.

Domo kakosa tuzo leo, mwaka wa shetani.
Domo kakosa tuzo leo, mwaka wa shetani.
Je, ulisoma kusudi la huu uzi?
Huyo kapiniki hajielewi badala ya kutoa ushauri kwa mtu wake anaita Watanzania wachawi ye ndo atakua kakubuhu amesahau mchawi wa mtu ni mtu mwenyewe asisingizie Watanzania
Wachawi wa nchii hii hawatoki ulaya eti...... Ni watanzania wenyewe ndio ambao wanafanyiana uchawi. Huu mnaoufanya ni uchawi acheni kutia chumvi kwa hao watoto.
Mbona umepaniki huu uzi ni wa Kiba na sio daimond hafu acha kuwa generalize Watanzania kwenye upuuzi wako nchii hii we uko Marekani
amejuaje ni wachawi kama hawawangi wote!!
Ha ha ha hilo nalo neno wana lalamika mno badala ya ku focus kwenye kumpa mbinu za kupiga hatua wao wanalaumu mara chuki wivu maneno mengi na Dangote wa Nigeria asemeje