Ningemshangaa sana Alikiba kama angetoa video inayoendana na maudhui.....Kudos Kiba... bonge la video la kudance mwanzo mwenga
Wow,welcome back kiongozi.Jana kuna mtu kasema ulikua police station umekamatwa!JF hii watu wambea sana.
Sasa je?hapa nilipo tumejifungia ndani mimi na mdogo wangu tunacheza mwana....
Lile dance tamu sana aisee
hahaaaa!! ashakuja eeh, mie wangu kaondoka na nshakuwa mtaalamu tena
hahaaaaaa!!!!!!
Haha haaaaa,kaja jana mwaya...
Kanipa ripoti ya mwana huko alikotoka ni balaa...Kiba yupo juu sana.
jamani dont drink and drive
Lakini si uliitazama na unaendelea kuitazama?
Cwez endelea tazama uchafu na kama ingekua amri yangu ningeipiga stop kuchezwa na kituo chochote kile cha tv.stpd
Wewe hujatulia ujue!!ha ha haUcnitibulie cku mke wangu nitakupa taraka
Hiyo post uliyoquote ni ya mkongwe Mkandara, ni yaleyale unamquote mtu inakuja post ya jukwaa la siasa.
By the way merry xmass to u and Mdakuzi. Love u mingi wenye stress za maisha na wajitundike.
Kwa hiyo unanicheka eeh?Na nimenuna sasa. 😡😡
Niko nyumbani wapendwa wala sijatoka kwenda popote na kesho pia nashinda nyumbani.