Hilo ndilo linalowachanganya. Hawakujua kama jamaa atatoka na kisu kama hiki. Alifanya vizuri sana kutotaja mapema kampuni iliyofanya Production, wangeweza kujipima mapema.
Ova
Hilo ndilo linalowachanganya. Hawakujua kama jamaa atatoka na kisu kama hiki. Alifanya vizuri sana kutotaja mapema kampuni iliyofanya Production, wangeweza kujipima mapema.
Ova
Imepigwa video tu ile, haikuwa show! Ila jamaa wamawatumia vizuri sana extras hadi unaweza ukadhani ilikuwa show ya kweli. Jamaa wamejua kuifanya kazi, iko tofauti kabisa na nyingi zote alizowahi kuwatengenezea Wabongo wengine.
Ova
hiyo ndiyo inaitwa suprise, walikuwa wana video yao kichwani sasa wamestuka kitu kimekuja kivinginee tofauti na matarajio yao alafu kaliiiii, sasa wanabaki kutapatapa tu na kutafuta pa kutokea, wanadhani alikuwa ana-act bongo movie eeeh??? Kiba ni mwanamuziki bwana, pop it in......., na bado.
hawana lolote wao si walimtaka wema wao na walivyo sifuri wema anaendekeza uswahili wa kugombani mabwana mwenzao jokate amesaini mkataba wa bilioni8.5 na wachina kutangaza bidhaa za kidoti