BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,335
- 1,386
itafikisha tu, quality ya picha za video ni nzuri na ali kiba ni maarufu...! Halafu kati ya video zote za ali kiba hii ndo ina picha nzuri kuliko zote zilizopita...ukiongelea matukio ya video na uhusiano wa video ni director/&producer aliekosea au ali kiba hakujieleza vizuri...Ali Kiba ni msanii mkubwa angetakiwa kutuliza kichwa kuifanya hii video watu walikua wanasubiri makubwa zaidi ya hayo..! Msiiponde sana atajichimbia tena halafu itakua kila siku anarudi...Unlike wasanii wengine Ali Kiba ni light Heart hawezi kuvumilia kutokubalika ndomana hua anaamua kukaa kimya...nyi ikubalini halafu mnampa marekbisho madogo madogo...bado tunamuhitaji...Akisimama vizuri tutakua na pakuhemea kimataifa, hapa Weusi pale Kiba halafu na Diamond lazima bongo fleva itatusuaIkifikisha hata viewers laki najiua...
itafikisha tu, quality ya picha za video ni nzuri na ali kiba ni maarufu...! Halafu kati ya video zote za ali kiba hii ndo ina picha nzuri kuliko zote zilizopita...ukiongelea matukio ya video na uhusiano wa video ni director/&producer aliekosea au ali kiba hakujieleza vizuri...Ali Kiba ni msanii mkubwa angetakiwa kutuliza kichwa kuifanya hii video watu walikua wanasubiri makubwa zaidi ya hayo..! Msiiponde sana atajichimbia tena halafu itakua kila siku anarudi...Unlike wasanii wengine Ali Kiba ni light Heart hawezi kuvumilia kutokubalika ndomana hua anaamua kukaa kimya...nyi ikubalini halafu mnampa marekbisho madogo madogo...bado tunamuhitaji...Akisimama vizuri tutakua na pakuhemea kimataifa, hapa Weusi pale Kiba halafu na Diamond lazima bongo fleva itatusua
ni me foretell ( itakavyokua )...weusi nafikiri kati ya makundi ya kizazi hiki yaliyo sirias jamaa wapo sirias sanaa so incase tukitusua tutakua pazuri ( sina kadi ya uanachama ya weusi yani sio shabiki mnazi wa weusi nimesema kuiwekea point yangu mashiko )mkuu kwani weusi wameingia kwenye anga la kimataifa?
Weraaaaa weraaaaaa uwiiiiiii le king killing it!
#MwanaVideo
Pop it in.....uwiiiiiiiii
Hahahahaha anaiga godfather ati sababu tandale anafanyaga nae... Hiyo nyimbo haiwezi pata airtime station yeyote nje ya TZ
itafikisha tu, quality ya picha za video ni nzuri na ali kiba ni maarufu...! Halafu kati ya video zote za ali kiba hii ndo ina picha nzuri kuliko zote zilizopita...ukiongelea matukio ya video na uhusiano wa video ni director/&producer aliekosea au ali kiba hakujieleza vizuri...Ali Kiba ni msanii mkubwa angetakiwa kutuliza kichwa kuifanya hii video watu walikua wanasubiri makubwa zaidi ya hayo..! Msiiponde sana atajichimbia tena halafu itakua kila siku anarudi...Unlike wasanii wengine Ali Kiba ni light Heart hawezi kuvumilia kutokubalika ndomana hua anaamua kukaa kimya...nyi ikubalini halafu mnampa marekbisho madogo madogo...bado tunamuhitaji...Akisimama vizuri tutakua na pakuhemea kimataifa, hapa Weusi pale Kiba halafu na Diamond lazima bongo fleva itatusua
Hahahahaha anaiga godfather ati sababu tandale anafanyaga nae... Hiyo nyimbo haiwezi pata airtime station yeyote nje ya TZ
nipe na namba ya simu kabisa PMNimekupenda bureeee kabsaaaa
nipe na namba ya simu kabisa PM
Haterz bhana...
Tatizo lako huwa unajifanyaga mtoto wa Town kumbe ni ----- tu uliyejificha nyuma ya keyboard..
Haterz bhana...
Tatizo lako huwa unajifanyaga mtoto wa Town kumbe ni ----- tu uliyejificha nyuma ya keyboard..
Hahahahaha anaiga godfather ati sababu tandale anafanyaga nae... Hiyo nyimbo haiwezi pata airtime station yeyote nje ya TZ
Quality yake ni super....ila content zero, Kiba ndio sijui kadanganywa na nani kudensi angeachana na ishu za kudensi anatilisha huruma akidensi.....haieleweki heleweki Adam angefanya zaidi ya alichofanya Godfather picha zimeunganishwa kama sio film......yani in short sio kitu Amazing.
itafikisha tu, quality ya picha za video ni nzuri na ali kiba ni maarufu...! Halafu kati ya video zote za ali kiba hii ndo ina picha nzuri kuliko zote zilizopita...ukiongelea matukio ya video na uhusiano wa video ni director/&producer aliekosea au ali kiba hakujieleza vizuri...Ali Kiba ni msanii mkubwa angetakiwa kutuliza kichwa kuifanya hii video watu walikua wanasubiri makubwa zaidi ya hayo..! Msiiponde sana atajichimbia tena halafu itakua kila siku anarudi...Unlike wasanii wengine Ali Kiba ni light Heart hawezi kuvumilia kutokubalika ndomana hua anaamua kukaa kimya...nyi ikubalini halafu mnampa marekbisho madogo madogo...bado tunamuhitaji...Akisimama vizuri tutakua na pakuhemea kimataifa, hapa Weusi pale Kiba halafu na Diamond lazima bongo fleva itatusua
Wewe kama nani unayesema haiwezi pata air time?unamiliki hata station moja wewe?au hata ndugu yako?
Kwendraaaa,na utasubiri sana.Unadhani Kiba ni huyo mjinga wenu wa tandale aliyetoa audio+video na zote zimekufa ndani ya wiki 1 tu?