Walisema kaishiwa,akatoa ngoma
wa kasema hana hela ya video, ametoa video
Bado hawataki!! mlitaka afanyaje sasa?
kiba ana Fanya mziki kwa ajili yake,wewe unaleta shingo upande!!
basi changanya Ta.ko ili mavi yasigande_Fid Q
hata kama humpendi kiba ,usimchukie.