Haya baada ya show ya Victoria kimani kupata watu kumi last week promoter huyo huyo tena kamleta mdogo wake Ali Kiba jana London ku perfom kwenye kiukumbi hicho hicho na jana wakaudhuria kama sio watu 10 basi 20..Jamani wasanii mtajifunza lini..
kweli ulaya tamu. .maana promoter huyo huyo ndo tena anawaleta tena Ali Kiba na Mwana fa tena kwenye kaukumbi hako hako tena ..
hahahahha..Nimeamini ulaya nyoko. .wasanii wanakubali tu maskini bila ku fanya utafiti wa kina