Nilikua naangalia EATV hapa kwenye ile show ya kigoma kwenye kill music tour ambayo ndomo alikuwepo lakini mashabiki wameulizwa wanamtaka nani wote wakajibu Ally Kibaaaaaa.....
Uwiiiiii nimefurahi sana

Haya nimekumbuka Mdakuzi ulisema utaongea na jamaa zako baada ya siku 2 utatuambia kama utaweza kutuwekea video ya mwana hapa au lah....
Tupe mrejesho maana siku zimeisha tusijepata aibu hapa video inatoka hatuna wa kutuwekea hapa
Kazi na dawa.

Hakukuwa na mwenye jibu la moja kwa moja baby wangu, ndio maana unaona nimekuwa kimya. Lakini ilifaa sana tuingize hapa usiku wa kuamkia siku ya kutoka kwake. Ili tuitazame kabla ya kesho yake kuchezwa kwenye Tv's Stations, ila dah ndo hivyo.
Ova