Jamani kwani Matola kumpenda atoto ni sawa na kusema matola anamchukia Ms.Lincoln??Au Mdakuzi kumpenda Ms.Lincoln ni sawa na kusema anamchukia nifah?Au Buku saba FC kumpenda Diva Beyonce ni sawa na kusema anamchukia Avemaria?(Confuse them!)
ha ha ha ha ha haaaaaa!me nimezoa vya kunyonga vya kuchinja siwezi !?
Ninachotaka team kiba wajue nimezimikaaa.....me sina papara nasubiri mola atanipa!mchezo gani huo wa kunikonyeza konyeza mchumba.....
Nakshi nakshi mrembo upo??