Usiku mweemaa kama ivi!!Na mtaumia sanaaaa kuona sie tunaishi na tunacheka vizuri!!By the way Matola kuna Basha amezimika na swagg zako kule mtaa wa Tandale anakutaja taja tu!!
ushauri utasaidia nini na nyimbo nzuri zote keshaimba na kamaliza!..sasa anatumia nguvu tuu. ningekua karibu nae ningemwambia asihangaike kurekodi rekodi sasa upepo unavuma tandale na si dhani kama anaweza kuhit kiasi cha kumpita yule -----. kiba. a relax sasa hivi ajipange taratibu aki panick atajikuta anatoa nyimbo kumi halafu zote hazihiti, anaweza kuchanganyikiwa na kupotea kabisa. ajipange taratibu kipaji anacho asilazimishe kupaa kipindi hiki ambacho domo yuko juu atayumba sana.