La kwanza niko tayari kutoa Tshirt za Kiba zenye kiwango ambapo shughuri ya kuziandaa kuna kampuni iko South Africa inaweza kuleta Tshirt katika viwango vya USA.
Heheheeer loh!umbea mbaya jamani!
Tokea lini ukatoa taarifa za King Kiba wewe?hater leo kawa fan jamani?
Wewe tulia tu ufuatilie movie kimyakimya uwepo wako hapa siutambui

Ufalme wao ni wa giza, kuna binadamu wengine walipaswa kuzaliwa kenge ila tu unajuwa zile mimba za kwenye mikesha wa mbio za Mwenge ndio inazaliwa mitoto laana kama huyu Pimbi.
Heheheeer loh!umbea mbaya jamani!
Tokea lini ukatoa taarifa za King Kiba wewe?hater leo kawa fan jamani?
Wewe tulia tu ufuatilie movie kimyakimya uwepo wako hapa siutambui
Kwa niaba ya Kiba Fans nawaomba tumpuuze tu huyo Kibwengo sisi tuendelee na yetu kwa raha zetu. Hakuna adhabu kubwa hapa JF kama kumpuuza mtu na kutomquote post yake yoyote.