Naona umelewa maneno ya haters kwenye ule uzi sasa....taratiiibu unataka kuungana nao nadhani hilo hujalitambua
Ni mara ngapi Mdakuzi na MuuzaSura wamesema hapa kuhusu project za Kiba?
Keep calm and waiting mama
Kiba mbona amesharudi vizuri, na nakumbuka aliwahi kukiri alikuwa na tatizo la management, alisema alipokuwa likizo aliamua kuwa kama shabiki wa muziki na kutazama ni wapi alikuwa akikosea, nadhani ndio maana wimbo wake wa kwanza toka arejee umebamba.
Ova
Haaa nifah wala...ujue dedication ina raha yakeee!hususan ujumbe ule wa wimbo husika mfano single boy,jamani atoto ukuburudishe sana!! Matola na Diva beyonce wamejificha sijui mtaa gani!!Le project..kuna siku Mdakuzi na wewe mlikua kimya kweli kweli!!siku ya kichambo ilee
Ooohh jamani nampenda huyu mdada mpaka naumwa..... Honey Faith yaani hiyo I'd yake tu inanimaliza...
Nilikua natamani nimuambie bora umenikumbusha Ms.Lincoln