Mdakuzi na mie nimekuona!!Mdakuzi ujue Le Mutuz shemeji yako kwa nifah!!Haya mbona umemkomalia sana au mambo ya wiiivu!!Kila mwenye dada hakosi shemejiiii!Cc Atoto
Aliniambia nimtafute mpenzi basi tu uvivu wangu....naogopa akiniona atazimia u know....
Wabebez wakarez kama sisi sio wa kuonekana hovyohovyo u know...
Hahahaaaaa