Nilitaka kumjibu yule le fisiz,chicken head basi tu nikampotezea...eti tumeususia uzi!Mimi nifah au mwingine?ni bora nisiingie JF milele kuliko kuususia uzi wa King Kiba wangu
Atoto una busara sana!Pokea juice ya nanasi hapo!Kiba ana ubora sana ila afanyie kazi kasoro zake zisizofichika!!wakambandikia maneno kwa picha(haaa!kicheko!),haachi mtu kitu hapaaa!
sasa hii ni yako nifahDivabeyonce@ms.Lincoln@Geniveros na wengine, love youuuu the family of humble u know!!! hahaaa we learned fom our king, KIBAAAAAAAA
sasa hii ni yako nifahDivabeyonce@ms.Lincoln@geniveros na wengine, love youuuu the family of humble u know!!! hahaaa we learned fom our king, KIBAAAAAAAA
uh!!! kwani nani hajaheshimu km sio hashuo zenu ziczokuwa za mcngi ndio zinawaponza na kupandikiza chuki ambazo hazipo!!!! jueni kusoma na kuelewa(ila cwalaumu)
Uwiiiii,naona zee la vigodoro limeingia jamani!loh,tunafuatiliwa hatariiii
Sasa naamini Matola alivyosema kua mtu asipoji commentisha hapa anaonekana hana bundle ni kweli,uliona mbali sana
Uwiiiii,naona zee la vigodoro limeingia jamani!loh,tunafuatiliwa hatariiii
Sasa naamini Matola alivyosema kua mtu asipoji commentisha hapa anaonekana hana bundle ni kweli,uliona mbali sana
Yani ndo nini nawe kutumia ID ngumu kama nini...wajitia uzungu...hahahaaa
Hadi kuku mention naogopa...
I love you too Ms.Lincoln,unajua sana basi tu kujitoa fahamu