Karibu juice,umerudi tena!!Lazima urudi,kwa kuwa unajua Kiba ndo Kiboko ya ndomo y hukuenda kupost kwenye uzi wa bycer au Rich mavoko au Msodoki?Kiba ni mwalimu inabaki ivo,izo shobo nyingine ni kawaida sana
Kukbe ndo nini!!Acha kutetemeka shoga yangu tuliaa!!La kusema nnalo nani kwa mfano ananiziba mdomo hapa nyumbani!!Nasema ivi Kiba anakunyima usingizi bado ingawa mnasema kapata tuzo so Kiba afanyeje!!Ye ndo kiboko yake that's y mmekuja hapa kuringishia!!
Watu mioyo inawalipuka kushinda ashinde domo mambo ya ajabu mtuletee sie inahusu. Ebu mtupishe tujimwae kwa raha zetu na king wetu japo hamtaki kukubali bt ndo nshasema
Hhhee alishasema kazi kuu ya moyo ni kusukuma damu kupenda viherehere vyao acha walambwee sukari ya warembo ileeee mmmhuuuu kukesha twakesha wotee hhhhhhaaaaaa kiba wapiiiiii
Unaanzaje kumwonea wivu mtu kama yule jamani!!Mtu ambaye kumpata demu ni mpaka azike mbuzi!!ptuuu sio kila mtu anatumia gongo na matap tap jamani!!Mwanaume anakitembeza kama amerogwa!
Watu wananeng'eneka tu fujo zote hizi coz hawakuwa na uhakika wa kichukua tuzo xo imetokea tu sasa wanakuja kwa mkubwa wao kutoa heshima. Marhaba karbuni sana vibaraka wa mfalme
Watu wananeng'eneka tu fujo zote hizi coz hawakuwa na uhakika wa kichukua tuzo xo imetokea tu sasa wanakuja kwa mkubwa wao kutoa heshima. Marhaba karbuni sana vibaraka wa mfalme