Woyoooooooooooooo hivi kwani hakuna wasanii hapa tz zaid ya kiba??? Watu wanakereketwa jaman wanaacha kupikia waume zao kutwa kupiga domo kumuongelea kiba mmmmmh kaaaaaazi kweli kweli.
Kiba ndo kiboko yaoo!!that's why wamekuja hapa,hujiulizi y wasingeenda kwenye uzi wa msanii mwingine??Kiba ndo mfalme wa kweliiii tuzo wamepata lakini bado anawahenyesha fikra zao!!aaah hushangai??
Nakwambiiiia!!sasa kutujazia nzi humu ili iweje!!Ndo kwanza mahaba kwa Kiba nazidisha mara mia na mia na buku zaidiiii!!Nampenda hatari kwangu Kiba ni bora zaidi,hii kwake ni changamotto tu sio msiba!!
Na sasa nasemaje,karibuni sana jirani zetu,hapa kuna nafasi kuuubwa kwa ajili ya wapenzi wa Kiba wote wa wazi na wasirisiri!!Mapenzi yenu ndo yanawaleta hapa hamjielewi inshort!!