Karibu juice,umerudi tena!!Lazima urudi,kwa kuwa unajua Kiba ndo Kiboko ya ndomo y hukuenda kupost kwenye uzi wa bycer au Rich mavoko au Msodoki?Kiba ni mwalimu inabaki ivo,izo shobo nyingine ni kawaida sana

Mmmmh disco limeingia mmasai acha wastaarabu tukae pembeni kwanza maana watt wa tandale kwa fujo+kukaba+matusi ndo zao. Nguruwe pitaaaaaaa>>>>>>> cna mshale mie.
Mlinzi wa zamu mzigoni na juice mkononiii,Kiba oyeee!!Tuzo mpate lakini bado anawakereta rohoni woireee,...anawawasha washa akilini kwenu coz ni tishio kwenuuu!
Sasa la ajabu lipi!?kwani yeye ndo wa kwanza Afrika mashariki kupokea tuzo?Msanii kupata tuzo ni tarajio yakinifu sio miujiza,mlitegemea apate nini?Ila ukweli unabaki pale pale shoga Kiba anawakosesha rahaaa!!

Woyoooooooooooooo hivi kwani hakuna wasanii hapa tz zaid ya kiba??? Watu wanakereketwa jaman wanaacha kupikia waume zao kutwa kupiga domo kumuongelea kiba mmmmmh kaaaaaazi kweli kweli.