Jamani,Kiba wewe unachambwa sana jamani!!Ni kweli wewe huna nyota!Ni kweli hujui!Ni kweli unabebwa?kama ni kweli mbona katika thread zao zote hawaishi kukujadili na kukupanda kama farasiii!!wewe unawakosesha raha!Wewe unawauma akili na moyo!.Wewe Ally wewe,unawakosesha usungizi!Nasikia wewe ni Kiboko yao!,nasikia una kipaji cha hali ya juu!...Nasikia wewe una mvuto matata!!Ndo maana wanasema wapo internationally lakini mbona wamekujaza vinywani mwao kama meno!?Unawapa kwikwi ujue!Unawapa heartattack!unawapa mtimanyongo wewe!!AAAhhh ivi unaitambua potential yako wewe!,unajua wewe ni madini hatariiii!!Unajua wewe una nyota ya jaha!!Amka amka!ukimya wako huooo...amka please!!Amka for us!!(Waraka)uwiii