Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,337 Nov 27, 2014 #2,621 atoto said: hahaaaa!!! hayo yana wenyewe mama, rudi tujisahaulishe machungu huku Click to expand... Nakuambia!huko nawaachia wanaojiweza bwana...
atoto said: hahaaaa!!! hayo yana wenyewe mama, rudi tujisahaulishe machungu huku Click to expand... Nakuambia!huko nawaachia wanaojiweza bwana...
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,337 Nov 27, 2014 #2,622 Jamani Matola yuko wapi?au jana kazima nini?hahahaaaa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,410 Reaction score 176,323 Nov 27, 2014 #2,623 nifah said: I am here my atoto...jamani jana nimechoka balaa,siasa mbaya sana....sitaki tena Click to expand... yaaani siasani unaweza ukameza cmu kwa hasira Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
nifah said: I am here my atoto...jamani jana nimechoka balaa,siasa mbaya sana....sitaki tena Click to expand... yaaani siasani unaweza ukameza cmu kwa hasira
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,410 Reaction score 176,323 Nov 27, 2014 #2,624 nifah said: Jamani Matola yuko wapi?au jana kazima nini?hahahaaaa Click to expand... Hahaaaa chezea siasa wewe, atakuwa amevurugwa huko, maana aliaga kabisa kuwa anakwenda siasani Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
nifah said: Jamani Matola yuko wapi?au jana kazima nini?hahahaaaa Click to expand... Hahaaaa chezea siasa wewe, atakuwa amevurugwa huko, maana aliaga kabisa kuwa anakwenda siasani
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,337 Nov 27, 2014 #2,625 atoto said: yaaani siasani unaweza ukameza cmu kwa hasira Click to expand... Ya nini nife kwa presha sababu ya hasira ilhali wengine wanakula mema ya nchi?
atoto said: yaaani siasani unaweza ukameza cmu kwa hasira Click to expand... Ya nini nife kwa presha sababu ya hasira ilhali wengine wanakula mema ya nchi?
Mdakuzi JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 4,293 Reaction score 6,897 Nov 27, 2014 #2,626 nifah said: Mimi sitaki tena siasa zinachosha sana....uwiiiiii yaani jana nimeumiza akili sana,sitaki mimi nawaachia nyie wataalam Click to expand... Hahahaa usituache peke yetu bwana. Twende pamoja mpaka kieleweke. Ova
nifah said: Mimi sitaki tena siasa zinachosha sana....uwiiiiii yaani jana nimeumiza akili sana,sitaki mimi nawaachia nyie wataalam Click to expand... Hahahaa usituache peke yetu bwana. Twende pamoja mpaka kieleweke. Ova
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,410 Reaction score 176,323 Nov 27, 2014 #2,627 nifah said: Ya nini nife kwa presha sababu ya hasira ilhali wengine wanakula mema ya nchi? Click to expand... yaani hii nchi jamani Nyerere alituharibu sana, tupotupo tu na wala hatuitaji mabadiliko, km tumerogwa aisee
nifah said: Ya nini nife kwa presha sababu ya hasira ilhali wengine wanakula mema ya nchi? Click to expand... yaani hii nchi jamani Nyerere alituharibu sana, tupotupo tu na wala hatuitaji mabadiliko, km tumerogwa aisee
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,292 Nov 27, 2014 #2,628 atoto said: yaaani siasani unaweza ukameza cmu kwa hasira Click to expand... Ha ha ha loh kule ni shiiider tupu kila mtu na lake
atoto said: yaaani siasani unaweza ukameza cmu kwa hasira Click to expand... Ha ha ha loh kule ni shiiider tupu kila mtu na lake
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,410 Reaction score 176,323 Nov 27, 2014 #2,629 Mdakuzi said: Hahahaa usituache peke yetu bwana. Twende pamoja mpaka kieleweke. Ova Click to expand... akuuuu!! endeleeni wenye mioyo yenu ya chuma, nicje tupa kamchina kangu ka urithi buree kwa hasira
Mdakuzi said: Hahahaa usituache peke yetu bwana. Twende pamoja mpaka kieleweke. Ova Click to expand... akuuuu!! endeleeni wenye mioyo yenu ya chuma, nicje tupa kamchina kangu ka urithi buree kwa hasira
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,337 Nov 27, 2014 #2,630 atoto said: Hahaaaa chezea siasa wewe, atakuwa amevurugwa huko, maana aliaga kabisa kuwa anakwenda siasani Click to expand... Umesahau jana usiku kaaga kua anapiga tungi na washkaji zake wanasherehekea ushindi wa kuwagaragaza mafisadi?
atoto said: Hahaaaa chezea siasa wewe, atakuwa amevurugwa huko, maana aliaga kabisa kuwa anakwenda siasani Click to expand... Umesahau jana usiku kaaga kua anapiga tungi na washkaji zake wanasherehekea ushindi wa kuwagaragaza mafisadi?
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,337 Nov 27, 2014 #2,631 Mdakuzi said: Hahahaa usituache peke yetu bwana. Twende pamoja mpaka kieleweke. Ova Click to expand... Tatizo wewe unaangalia tuu wala huungani na sisi kule kwenye comments,au unaogopa utapoteza concentration nini?
Mdakuzi said: Hahahaa usituache peke yetu bwana. Twende pamoja mpaka kieleweke. Ova Click to expand... Tatizo wewe unaangalia tuu wala huungani na sisi kule kwenye comments,au unaogopa utapoteza concentration nini?
Mdakuzi JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 4,293 Reaction score 6,897 Nov 27, 2014 #2,632 atoto said: akuuuu!! endeleeni wenye mioyo yenu ya chuma, nicje tupa kamchina kangu ka urithi buree kwa hasira Click to expand... Hahahaaa! Hutaki kabisa. Ova
atoto said: akuuuu!! endeleeni wenye mioyo yenu ya chuma, nicje tupa kamchina kangu ka urithi buree kwa hasira Click to expand... Hahahaaa! Hutaki kabisa. Ova
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,337 Nov 27, 2014 #2,633 Diva Beyonce said: Ha ha ha loh kule ni shiiider tupu kila mtu na lake Click to expand... Jana naona umepambana kwelikweli,unapenda siasa wewe???
Diva Beyonce said: Ha ha ha loh kule ni shiiider tupu kila mtu na lake Click to expand... Jana naona umepambana kwelikweli,unapenda siasa wewe???
Mdakuzi JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 4,293 Reaction score 6,897 Nov 27, 2014 #2,634 nifah said: Tatizo wewe unaangalia tuu wala huungani na sisi kule kwenye comments,au unaogopa utapoteza concentration nini? Click to expand... Nikiwa nafuatilia huwa napenda kutulia na kukusanya point zangu. Ova
nifah said: Tatizo wewe unaangalia tuu wala huungani na sisi kule kwenye comments,au unaogopa utapoteza concentration nini? Click to expand... Nikiwa nafuatilia huwa napenda kutulia na kukusanya point zangu. Ova
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,337 Nov 27, 2014 #2,635 Uwiiiii nilisahau,hivi geniveros unadhani nimesahau uliwahi kusema msukuma wako ni muheshimiwa?haya vipi na yeye yupo nini?maana umepotea ghafla Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Uwiiiii nilisahau,hivi geniveros unadhani nimesahau uliwahi kusema msukuma wako ni muheshimiwa?haya vipi na yeye yupo nini?maana umepotea ghafla
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,337 Nov 27, 2014 #2,636 atoto said: yaani hii nchi jamani Nyerere alituharibu sana, tupotupo tu na wala hatuitaji mabadiliko, km tumerogwa aisee Click to expand... Wewe acha tu,kwa sasa siasa naiweka kando hadi niwe mtu mzima...I am too young for politics
atoto said: yaani hii nchi jamani Nyerere alituharibu sana, tupotupo tu na wala hatuitaji mabadiliko, km tumerogwa aisee Click to expand... Wewe acha tu,kwa sasa siasa naiweka kando hadi niwe mtu mzima...I am too young for politics
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,337 Nov 27, 2014 #2,637 Mdakuzi said: Nikiwa nafuatilia huwa napenda kutulia na kukusahau point zangu. Ova Click to expand... Nadhani ulikua unamaanisha kukusanya points zako.... Leo nitajikaza jioni nione itakuwaje,hili sakata la escrow likiisha na mimi namalizana na siasa
Mdakuzi said: Nikiwa nafuatilia huwa napenda kutulia na kukusahau point zangu. Ova Click to expand... Nadhani ulikua unamaanisha kukusanya points zako.... Leo nitajikaza jioni nione itakuwaje,hili sakata la escrow likiisha na mimi namalizana na siasa
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,292 Nov 27, 2014 #2,638 nifah said: Jana naona umepambana kwelikweli,unapenda siasa wewe??? Click to expand... Sio kivile labda mpaka kwenye national matters siasa za kibongo na Kiafrica ni majanga kuwaumiza na Ku fool wananchi sipendagi sana
nifah said: Jana naona umepambana kwelikweli,unapenda siasa wewe??? Click to expand... Sio kivile labda mpaka kwenye national matters siasa za kibongo na Kiafrica ni majanga kuwaumiza na Ku fool wananchi sipendagi sana
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,410 Reaction score 176,323 Nov 27, 2014 #2,639 nifah said: Umesahau jana usiku kaaga kua anapiga tungi na washkaji zake wanasherehekea ushindi wa kuwagaragaza mafisadi? Click to expand... hahaaaa!! hangover yotee imemuisha
nifah said: Umesahau jana usiku kaaga kua anapiga tungi na washkaji zake wanasherehekea ushindi wa kuwagaragaza mafisadi? Click to expand... hahaaaa!! hangover yotee imemuisha
Mdakuzi JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 4,293 Reaction score 6,897 Nov 27, 2014 #2,640 nifah said: Nadhani ulikua unamaanisha kukusanya points zako.... Leo nitajikaza jioni nione itakuwaje,hili sakata la escrow likiisha na mimi namalizana na siasa Click to expand... Yeah! Ni Kukusanya wangu. Ova
nifah said: Nadhani ulikua unamaanisha kukusanya points zako.... Leo nitajikaza jioni nione itakuwaje,hili sakata la escrow likiisha na mimi namalizana na siasa Click to expand... Yeah! Ni Kukusanya wangu. Ova