Atoto nipoooo!!ni hizi shughuli za hapa na pale na mambo ya escrow!!Ila hapa ni mahali pa kutolea machungu ya mambo maovu yanayofanywa na hawa wana siasa wetu pamoja na viongozi wa nchi!!
Yani katika hili swala Kiba anatukwaza wengi sana!!anafanya mziki kama hobby!!Akat sisi tunajitoa ufaham kwa ajili yake,alisema amerudi kukalia kiti naona anataka kusinzia sasa!!aaarghhh!!
Huyu shemeji anaharibu lugha zetu kwa kwelii!!looh!!Hivi shemeji naye ntafurahi siku nkimwona hapa atoe le tamkozz juu ya mahaba yake kwa King wetu jamane!!