Jana na juzi iyo mama ya'Allah..
Nilikatiza ile kona nikakutana na vijana,
Eti wamenuna kisa mwenzao nishaoa...mmh!
Ujana maji ya moto yatawakanda msipooa
Hivi punde nitaingia shamba na nitavuna nilichopanda
Kwani dume dume la mbegu Ally mashaallah!
Nitazidi kumwomba Mola anilindie mashaallah...eeeeh!
#KIMASOMASO
Hii verse naipenda mpaka naumwaaaa!!!
Si sauti tamu ile atii, maneno yake eeewwwww....Ally Kiba fundi jamani!