karibu home sweet home, hii njia pia ni nzuri tuu na tumekuelewa kuwa wewe ni shabiki mkubwa wa kiba na km huwa wanalipwa basi tuanze na wewe, umelipwa nini?
niko na kaka yangu anampenda kiba huyoo, tokea asubuhi anackiliza tuu nyimbo zake anasema huwa hachoki kumckiliza kiba na ana nyimbo zake zote kwenye pc yake
karibu home sweet home, hii njia pia ni nzuri tuu na tumekuelewa kuwa wewe ni shabiki mkubwa wa kiba na km huwa wanalipwa basi tuanze na wewe, umelipwa nini?
kama hivi wewe unavyopoteza eti?
hapa sie tuko kiburudani zaidi na ninaamini mara nyingi burudani ww ndio unatakiwa ugharamike ili uipate sio ulipwe!!!
alafu ww km unaona sie hapa twapoteza muda basi ungepita kimya kimya uende hukooo wanakolipwa, utuache sie tuendelee kupoteza muda.
anyway wote sie watu wazima na akili zetu timamu so we know wht we are doing