chezea bando! watu wanaponda huku roho zinadunda, walitamani hata kuanzisha id mpya waje nacho kwenye kinyang'anyiro, ila kwakuwa wana mapenzi ya dhati na kiba wakaja hivyohivyo
Hahaaa kama ni hilo jini kitorondo nimeliona achana nalo tufanye yetu wakija tunawapotezea hatutaki kubishana nao wanajidai eti wanatupa kick,sasa tutawaonyesha kua hatuhitaji uwepo wao hapa kivyovyote vile