Acha upuuzi kama unazungumzia brand toka enzi zile Gangwe Mob wana brand yao ya Gangwe Gear itakuwa enzi zile hukuwepo mjini basi unaona kila kitu kimeanzishwa na Baba ako DimondMmh kweli Diamond ndio mwalimu wa Alikiba. Daimond akifa lazima Ali Kiva naye afe maana Huyu ndio Idol. Lkn huu ushindani mzuri wa maendeleo wa kugeza mawazo ya wengine.
Ungetumia akili kama za mwanao ungejua kuwa Ali Kiba anatamba na kufanya show all over the world toka enzi zile Dimond anaosha vyombo studio kwa bob Junior sasa sijui umetumia akili za nani kusema kuwa Ali anatembelea Nyota ya Dimondhuyu kiba ni kama tu ray kipindi cha kanumba....alitembelea nyota ya mwenzie wee alipokufa kanumba tu ray chaliii...
Acha ujinga mafanikio hayana umri wewe muulize mfano muigiza Morgan freeman ameanza kuwa billionaire baada ya kupata mafanikio kwenye filamu ameanza kuigiza akiwa na miaka 58 Leo hii ana pesa nzuri afu unamkatisha tamaa kiba ambaye hata 40 years hajafikaUmri umeenda hakuna ubunifu tena. Tukubali matokeo .
Hivi King's Music imefikia wapi ?Huyu huwa simuaminigi, hua anapelekwa na matukio, hanaga mipango. Mgt mbovu.
Lets wait n see.
who cares kama alitamba kabla ya domo?Ungetumia akili kama za mwanao ungejua kuwa Ali Kiba anatamba na kufanya show all over the world toka enzi zile Dimond anaosha vyombo studio kwa bob Junior sasa sijui umetumia akili za nani kusema kuwa Ali anatembelea Nyota ya Dimond
Umeona ulivyo mpuuzi sasa....kwa hiyo umekubali kuwa Ali atembelei nyota ya Dimond ahaaaa ahaaaa we jamaa ni Msukulewho cares kama alitamba kabla ya domo?
ukweli ni kwamba kwa sasa hamfikii huyo domo hata afanye nini!!
ye aendelee tu kuijaza dunia mwenzie anafanya kazi
hebu nitolee utoto wako hapa unaacha kujibu hoja unaanza kuni attack mara mpuuzi Mara msukule, kafie mbele hukoUmeona ulivyo mpuuzi sasa....kwa hiyo umekubali kuwa Ali atembelei nyota ya Dimond ahaaaa ahaaaa we jamaa ni Msukule
kumbe ni mwanamke!?hebu nitolee utoto wako hapa unaacha kujibu hoja unaanza kuni attack mara mpuuzi Mara msukule, kafie mbele huko