Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 15,975
- 24,596
"Kwenye mazoezi Diara anacheza namba sita, huwa anamwambia Mshery kaa golini nishikie kidogo kwanza, ngoja nikakae na Sure Boy pale."- Ali Kamwe, @alikamwe Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga akimzungumzia ubora mwingine wa mlinda mlango, Djigui Diarra katika Kipindi cha Jambo Wikiendi TBC1.