Habar wapendwa.. naomba mwenye namba ya simu ya shule ya Al-hikma au kujua details zake (fee structure) kwa primary student- anatarajia kuanza darasa la kwanza
Nimejaribu kufanya hiyo na namba niliyoikuta nikijaribu kupiga anapokea mtu mwingine anadai hausiani na hayo mambo ya shule ni kwamba namba hiyo itakua imegaiwa mara 2 yan kwa watu 2 tofauti. Ndomana nikalileta humu uenda kuna mwanaJF anamtoto, ndugu au jamaa yupo pale nikaweza kupata mawasiliano hayo. Asante kiongozi kwa ushaur huo