McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 889
- 2,863
Mkurugenzi wa Msama Promotion Ndugu Alex Msama amesema kulingana na utafiti uliofanyika nchi nzima, Mgombea Urais wa CCM Samia Suluhu Hassan ndiye anayependwa zaidi kuliko Wagombea wa vyama vingine zaidi ya 16 vilivyosimamisha Wagombea Urais
Msama amaesema Watanzania zaidi ya Milioni 50 wanampenda Dkt. Samia na wapiga kura zaidi ya Milioni 25 wameahidi kumchagua katika Uchaguzi wa tarehe 29, ila Watanzania Milioni 1 tu ndio wanaojifanga hawampendi mitandaoni kwa sababu ya kusikiliza propaganda za uongo
Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Source: Lemutuz TV