Mahakama hizi za profesa Juma??Hata kama alidhulumu ndiyo atekwe, watanzania tuache upumbavu wa kushabikia uhalifu... Umedhulumiwa nenda mahakamani
Uso wake au tabia zake mkuu?😂Huyu kakaa kitapelitapeli
Muwe na huruma.Dah!🤣Huyu ni tapeli mbaya Sana. Nadhani ametengeneza scenario ya kujihami. Maana wangetaka kumteka wangemteka tu.
Uso wake na jinsi anavyoongeaUso wake au tabia zake mkuu?😂
Dah!Kumbe mtu akichokwa ndivyo ilivyo?Nahama mji.😂😂😂😂Uso wake na jinsi anavyoongea
Astaghifilullah!Mola ampe wepesi wa kujitafakari hayo maneno.Tapeli tu,ni jambazi kabisa.
Ndiyo uzuri wetu watanzania. Akitekwa usiyempenda unasema aah yule tapeli, yule sijui yukoje, sasa kumbe utekaji hauishii hapo unakuja mpaka unakufikia na wewe.Huyu kakaa kitapelitapeli
Nimchukie kwa lipi hata simfahamu? Mimi nimesema tu ana sura ya ya kitapeliNdiyo uzuri wetu watanzania. Akitekwa usiyempenda unasema aah yule tapeli, yule sijui yukoje, sasa kumbe utekaji hauishii hapo unakuja mpaka unakufikia na wewe.
Kama tunapinga haya mambo tuyapinge kabisa. Hao watekaji wakimalizana na upinzani upinzani ukaisha, watahamia kwa wana ccm pia.
Kwenye nchi ni hatari sana kuwepo kwa kikosi kazi na na ni mojawapo ya sababu ya nchi ya haiti kutotulia. Kuna kikosi kazi kiliundwa enzi za mtawala fulani huko kudeal na wapinzani na kumlinda.
Kwa hiyo mtu akiwa na sura ya kitapeli hata akitekwa hakuna shida mkuu?Nimchukie kwa lipi hata simfahamu? Mimi nimesema tu ana sura ya ya kitapeli
HakikaKwa hiyo mtu akiwa na sura ya kitapeli hata akitekwa hakuna shida mkuu?
Yes, nimesikia kuwa ni tapeli. Lakini kutokana na utekaji unaoendelea na watu kupotea, huwezi jua anatekwa kwa utapeli wake au ndiyo mwendelezo ule ule. Maana hebu fikiria mtu kama ally kibao. Mpaka leo watu wanajiuliza yule mzee zaidi ya kuwa mwanachadema alifanya nini. Hata hakuwa mwanaharakati kihivyo na watu wengi walimfahamu baada ya kutekwa ikiwa ni pamoja na mimi.
Tukijustify kuwa tapeli atekwe, ccm na wapambe nao ndio maana wanajustify wapinzani watekwe kwa kuwaita matapeli wanatumiwa na mabeberu. La msingi tupinge haya mambo na kusisitiza vyombo vya dola vifanye kazi yake na kwa mujibu wa sheria iwe kwa tapeli, mpinzani, mtawala.
Mimi naona bora tapeli achomwe moto na raia kuliko kutekwa walau hilo naweza kusema raia wamechoka...
Anaanzaje kuacha?Pole yake ameacha utapeli?
Jamaa dhulmaaa sanaItakua ni matapeli wenzake hao wamezurumiana mgao.
Dhuluma sana na sahv watu watAPITA na upepo wa kutekana kumshulikia ohoooMsama ni TAPELI mkubwa na kengeza lake