Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,313
- 289,281
😆😆😆😆Bongo movie hiyo 😂
Tapeli konkiHuyu kakaa kitapelitapeli
Kumbe ana issues za kudhulumu watu viwanja? Alipe viwanja vya watu ili ajiondoe kwenye matatizoau ni watu wengine ambao aliwadhulumu Viwanja.
Hawawezi kutekana wao kwa wao. KalaghabahoHatujajua kama ni Wale wale wa Bonge ambao hawajakamatwa hadi leo kwa vile hawajulikani, au ni watu wengine ambao aliwadhulumu Viwanja.
Taarifa kamili hii hapa.
View attachment 3166178
Kumbe ni tapeliPole yake ameacha utapeli?
Mahakama za Kenya labdaHata kama alidhulumu ndiyo atekwe, watanzania tuache upumbavu wa kushabikia uhalifu... Umedhulumiwa nenda mahakamani
Kumbe ni mshenzi sanaNdiyo huyo huyo msama promotion. Amekula sana hela za akina Rose Muhando kupitia matamasha yake ya Pasaka enzi hizo.