Alewesha wanaume kisha kuwaibia

Joined
Jul 30, 2018
Posts
50
Reaction score
87
Polisi nchini Kenya wanamshikilia Joyce Aluta wa Mombasa kwa kosa la kuwawekea Wanaume dawa za kulevya kwenye pombe na kisha kuwaibia vitu mbalimbali kama simu, saa na wallet.

Joyce anadaiwa wakati mwingine kujifanya Kahaba na kisha akiondoka na Mteja mpaka nyumbani kwake huondoka na TV, Radio, Computer na vitu vingine

Polisi wanamshikilia Joyce na wamefanikiwa kupata baadhi ya vitu alivyowaibia Wanaume hao simu, viatu na fedha taslimu.
 
Hehehe! Umeshapata soda ya mirinda nyeusi, tena ya baridiiii!!!!
Naskia wanaume huko kwenu wamepewa ushindani mkali na chupa za soda....mumekua legelege sana.
Inasikitisha sana...
 
Hehehe! Umeshapata soda ya mirinda nyeusi, tena ya baridiiii!!!!
Naskia wanaume huko kwenu wamepewa ushindani mkali na chupa za soda....mumekua legelege sana.
Acha ujinga mkuu. Hao ni wanaume wa dar na sio wa mikoani. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaka vyote huyo.

Sheria ichukue mkondo wake ipate kuwa funzo na kwa wengine wa aina yake.
 
Tamaa mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…