samweli mwandelema
Senior Member
- Feb 17, 2014
- 117
- 41
Nakupongeza Rais kwa hili la kuzuia ongezeko la umeme kwani hii ndo Tanzania yenye viongozi ambao kila mmoja anajipangia atakalo. pamoja na hilo geukia pesa za maendeleo ulizopeleka mashuleni je zinafanya kilichokusudiwa? Na bado halmashauri nyingi zina miungu watu watumbue nao.