Alerts kwenye android

Alerts kwenye android

Mu7

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
1,655
Reaction score
2,003
Hivi hizi alerts zinazokuja kwenye android phones unaposurf internet zina ukweli wowote au ni trick ya kuuza app zao? Mara nyingi naletewa alert eti simu yangu iko slow na ina virus wengi na karibu itazima kabisa halafu naletewa option ya kudownload Zero Launcher au Du Battery Booster. Nikiscan simu yangu kwa antivirus niliyonayo sipati hata mmoja. .Na nimeignore alerts hizo mara kibao lakini sioni hatari hiyo ninayotangaziwa. Imekaaje hiyo wataalam wa tech?
 
Hizo ni njia tu za watu kupiga pesa hamna zaidi ya hapo, wana display ads, utadownload software yao itakupa data za hapa na pale utaitumia mara kadhaa huku inadisplay matangazo wao wanapiga hela...kuna situations ambazo antivirus inasaidia japo mara nyingi antivirus kwenye smartphone ni unnecessary...

Kama simu yako iko slow nadhani ni wakati wa ku-upgrade sasa upate simu yenye RAM kubwa kidogo, hakikisha unafunga apps ambazo hutumii ziclear RAM space, ni vizuri kabisa kua na task manager kwenye front screen ikurahisishie kufunga all the time
 
izo ni biashara za watu mkuu hakuna ukweli wowote ni apps Zinauzwa au free ayo ni matangazo tafuta adaway or ad blocker apps uondoe usumbufu usio na maana
 
Hivi hizi alerts zinazokuja kwenye android phones unaposurf internet zina ukweli wowote au ni trick ya kuuza app zao? Mara nyingi naletewa alert eti simu yangu iko slow na ina virus wengi na karibu itazima kabisa halafu naletewa option ya kudownload Zero Launcher au Du Battery Booster. Nikiscan simu yangu kwa antivirus niliyonayo sipati hata mmoja. .Na nimeignore alerts hizo mara kibao lakini sioni hatari hiyo ninayotangaziwa. Imekaaje hiyo wataalam wa tech?

HIzo ni adds tu mkuu...wanapiga pesa tu jamaa..
root simu yako kisha install app ya adaway ku block hzo adds
 
HIzo ni adds tu mkuu...wanapiga pesa tu jamaa..
root simu yako kisha install app ya adaway ku block hzo adds

Nipe maujanja namna ya kuroot android. Natumia Tecno M7. Kuna madhara yoyote kwa rooting ya simu?
 
Back
Top Bottom