Skyshades-Africa
Member
- Dec 5, 2012
- 19
- 4
And These Are Some of our other projects that we have done:
Am wondering if you are still not impressed.......
Huyo jamaa sijui anataka shades za design gani, toa specifications au sample watu wafanye kazi. Btw, Skyshades kazi zenu nimezipenda, lakini hizo picha naona unataka kutuintimidate sisi wenye vibajaji, hiyo picha ya nne naona M-Audi na M-Cayenne imetulia hapo pembeni ya hiyo speedboat, naomba unifahamishe hapo ni kwa nani nikampe shikamoo zake!
we have new great itemsfor more details you can reach me on this number:0684627566 or 0715665545 or my email:- mark.mboyi@skyshadesafrica.com or mark.mboyi@live.co.uk
calll calll calll calll calll
Electric fences mnafanyeje mkuu gharama zake zipoje unaweza kuweka mchanganuo wako tafadhali
Hebu atupe hints ya gharama maana picha hazitwambii kitu.
Tiba
Hebu atupe hints ya gharama maana picha hazitwambii kitu.
Tiba