Mbele ya kaka yake Urusi kitu kama hicho kwao ni upuuzi tuuDaima asije akarudishwa Nyuma na kitu kinaitwa haki za binadam .....
Kama kaomba msaada kwa Marekani basi ujue ndio watamiminika wengi hapo Uturuki.Leo waturuki wameomba msaada wa Jeshi la anga la marekani kupambana na hao wanaoitwa ISIS Katika mji wa Adlib. Michezo ya kuigiza bado inaendelea ukichukulia kuwa katika umoja wa NATO Uturuki ndo ya pili kwa uwezo wa kijeshi… je ni kweli taifa babe (waulize wagiriki watakuambia) kama Uturuki limeshindwa na kikundi tu cha waasi kinaitwa ISIS? Haya ngoja tuendelee kuangalia muvi hii
hapo hiyo ni zuga ili usa wajifanye wanawatwanga waasi ili waingie tena kwa wingi syria.Leo waturuki wameomba msaada wa Jeshi la anga la marekani kupambana na hao wanaoitwa ISIS Katika mji wa Adlib. Michezo ya kuigiza bado inaendelea ukichukulia kuwa katika umoja wa NATO Uturuki ndo ya pili kwa uwezo wa kijeshi… je ni kweli taifa babe (waulize wagiriki watakuambia) kama Uturuki limeshindwa na kikundi tu cha waasi kinaitwa ISIS? Haya ngoja tuendelee kuangalia muvi hii
Yes, The bear(russia) does not ask for a permission when wants to do something....Mbele ya kaka yake Urusi kitu kama hicho kwao ni upuuzi tuu
Itakuwa hivyohapo hiyo ni zuga ili usa wajifanye wanawatwanga waasi ili waingie tena kwa wingi syria.
Waturuki wanafiki sana. Lakini Putin ni kiboko. Anawsikilizia majoto tu. Sasa hivi KGB wapo kibao wanafatilia ishu ya Barozi wao kuuwawa.Leo waturuki wameomba msaada wa Jeshi la anga la marekani kupambana na hao wanaoitwa ISIS Katika mji wa Adlib. Michezo ya kuigiza bado inaendelea ukichukulia kuwa katika umoja wa NATO Uturuki ndo ya pili kwa uwezo wa kijeshi… je ni kweli taifa babe (waulize wagiriki watakuambia) kama Uturuki limeshindwa na kikundi tu cha waasi kinaitwa ISIS? Haya ngoja tuendelee kuangalia muvi hii
Anaisoma namba sasaUturuki ni ndumilakuwili mkubwa, awali alisema hamtaki Bashar, leo yupo kaskazini ya Syria huyu anatafuta visa Syria, ananikumbusha Enzi za Ottoman empire
Hawatoweza ingia tena hukohapo hiyo ni zuga ili usa wajifanye wanawatwanga waasi ili waingie tena kwa wingi syria.
NjiroWestern ya wapi?