That_Big_MAN
Member
- Oct 28, 2026
- 28
- 32
Sure ni ngumu sana. Si rahisi, na experience inaonyesha ukirudi, unafungulia bomba hasa🤣Kila nikikumbuka nilimaliza miaka mi3 sijaonja pombe, nilipopitia changamoto fula ni nikaanza kunywa hard liauor nashindwa kuamini hizi safari za ku quit kilaji!
Hapo kwenye baltika soon......Hello JF.
Binafsi nimekuwa mpiga masanga kwa takribani ¾ ya maisha yangu. Masanga imenipa deals, mabalaa, fedheha, madem, wana, masnitch n.k.
Sasa imetosha. Nimemua rasmi kuacha. Siku yangu ya mwisho kunywa, ilikuwa ni Oktoba 15.
Kwa mujibu wa Gemini, phase za kuacha pombe na yanayojili mwilini ziko nne.
View attachment 3707782
Si kazi rahisi kuacha pombe. Mazoea ya mwili, mazingira na watu. Kuna wakati unatamani ukakitafute kinywaji, ila NIA NDIO INASIMAMIA.
Uzi huu nimeuanzisha kama msukumo wa kusimamia nia, pia kujumuika na wadau walioacha au walio kwenye safari ya kuacha au wanaotaka kuacha.
Najiona niko Phase Two ya hizi siku 30. Mtindo mpya wa maisha.
1. Najitahidi saa 4 niwe nimelala saa 11 asubuhi naingia mazoezini.
2. Makutano ya bar nimeyapunguza sana.
3. Mara moja moja, natumia Baltika 0% — Non Alcoholic beer.
View attachment 3707789
Karibu katika safari hii.
🤣 it's like a methadone.Hapo kwenye baltika soon......
Though sikuwa mtumiaji mahiri, nimeweza kutoka kwenye magereza ya pombe na bangi miaka 2 sasa.Kila nikikumbuka nilimaliza miaka mi3 sijaonja pombe, mwaka mmoja nilipopitia changamoto fulani nikaanza kunywa hard liquor nashindwa kuamini hizi safari za ku quit kilaji!
Ukitakaa kuacha masanga shinda kanisani na msikiti ziwe rut zako za kila siku ila vinginevyoo......🤣 it's like a methadone.
Ndio ndiomaana huwa siahidi tena kuacha nakunywa kistaarabu nikipata kiu hata kama ni mara moja kwa mweziSure ni ngumu sana. Si rahisi, na experience inaonyesha ukirudi, unafungulia bomba hasa🤣
Nilipata mpenzi mlokole akanikataza🥺Kwanini uliacha?
Kwanini uliacha?Though sikuwa mtumiaji mahiri, nimeweza kutoka kwenye magereza ya pombe na bangi a kitu sijaona madhara yake kwangu?miaka 2 sasa.
Haufiki mahali ukaacha kutamani hivi vitu, ni pambano la kila siku.
Kila siku unaamua usitumie tu. Quitting and forgetting is a myth.
🤣. Hii inakuwa hujaacha. Ulevi inabidi uanzie moyoni mwako mwenyewe.Nilipata mpenzi mlokole akanikataza🥺
Sababu za kuacha ni nyingi, ila kubwa ni kuzika wanafamilia kadhaa kwasababu ya pombe.Kwanini uliacha?
Kwanini nipambane kuachana na kitu kisichoniletea madhara?
Whhhyyy??
Kumbeee🙆🏽♀️🤣. Hii inakuwa hujaacha. Ulevi inabidi uanzie moyoni mwako mwenyewe.
Aisee pole!Sababu za kuacha ni nyingi, ila kubwa ni kuzika wanafamilia kadhaa kwasababu ya pombe.
Bangi itaniokoa🌚😂😂eti kisichokuletea madhara... hebu "google" pombe inasababisha saratani ya matiti kwa kiasi gani.
Mayai hayahaya ya chips au?KE mko hatarini sana. Pombe inakaanga mayai na kuchoma matiti.
😢We Seroo huogopi eee...
niko sober mwaka wa 5 sasa ila haikua rahisi aisee,nilikaribirai KUDATA mana usingiz nilikua sipati na kuna hali inakutokea yan ni kama unakua na mawenge muda wote,,miez 6 ya kwanza nilikua naacha nakurudia mana nlikua karibu na ma clubs ba bars kwahiyo unaweza kuta saa saba usiku usingiz unakata halafu kuna sauti inaniambia amka kanywe kidogo,basi hapo hulali,naamka naenda kunywa nikirudi nafsi inaniambia umefanyaje tena? yan unatokwa na jasho na ukishastuka usiku hulali tena...baadae nikashangaa ule uraibu ukaisha kabisa mpaka leo hii sijawah kugusa bia,soda wala energy...kuwa sober si kazi rahis na ndo mana wengi wanarudia tena unywaji mana inabid uwe umejipanga socially,spiritually mana si kazi rahis unapambana na NAFSI MBILI katika mwili mmoja inabid uwe tayar si matani babu.Hello JF.