Namkubali sana huyu dada....
raia wa wapi?Kama umempenda Adele basi mtafute dada moja aniatwa Paloma Faith, Loreena Mckennit, wanaimba kama yeye
Muingerezaraia wa wapi?
raia wa wapi?
Paloma ninayo album yake....
Naukubali sana ule wimbo wake wa chaginng....
Mkuu nimekuja gundua unapenda sana mziki na unafuatilia sana, big up. Music is a medicine it wont bother you at all.Sikiliza Only Love Can Hurt Like This
Mkuu mbona napakua hii album yake bado inazingua,ukisha pakua wewe una unzip na program ama.Artist: ADELE
Album: 25
Gener: POP
Year Released: 2015
Language: ENGLISH
Tracks
01 : Hello
02 : Send My Love
03 : I Miss You
04 : When We Where Young
05 : Remedy
06 : Water Under the Bridge
07 : River Lea
08 : Love in The Dark
09 : Million Years Ago
10 : All i Ask
11 : Sweetest Devotion
Download then unzip
Adele Album.zip
Mkuu mbona napakua hii album yake bado inazingua,ukisha pakua wewe una unzip na program ama.