meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
Maelezo ya Albert Msando kuhusu uraia wake
Leo tarehe 26.06.2014 nimepeleka maelezo yangu ofisi ya Uhamiaji Moshi kuhusu uraia wangu. Kwa maelezo niliyopewa awali kuna wanaosema mimi sio Mtanzania.
Kufuatia hiyo Mzee wangu, Gaspar Mwaria Msando na kaka yangu George Mwaria Msando wamehojiwa leo kama wananifahamu.
Miaka 34 baada ya kuzaliwa hospitali ya serikali, kusomeshwa shule msingi ya serikali, shule ya sekondari ya serikali na chuo kikuu cha serikali leo natakiwa kuelezea kama ni raia.
Najiuliza, kama sio raia narudisha gharama zote za serikali? Je naenda wapi kama leo hii mimi sio raia? Stateless person?
Chanzo: FB wall ya Msando Alberto
Maelezo ya Zitto Kabwe kuhusu uraia wa Albert Msando
Eti Albert Msando Alberto sio raia wa Tanzania! Hii nchi ni vichekesho. Albert wanajua wanayemtafuta. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Bwana Maswi aliwaambia Jukwaa la Wahariri kuwa Mimi Zitto Z Kabwe ni mkongo. Albert, watakusumbua sana. Tutawashinda tu. Hatushindwi vita.
Chanzo: FB wall ya ZKK
Unasemaje?
Kama nilivyoandika!
Ameshutumiwa na nani?
Ni stateless person kama alivyojiuliza!Sijakuelewa Mkuu, Ni Raia Wa Wapi Na Evidence Zipi?
kisa kumuunga mkombizi zzk
Upuuzi unakuja vipi?mtu katuhumiwa na amelalamika,mimi nimewaletea..upuuzi uko wapi?Thread nyingine ya kipuuzi! Upuuzi kabisa!
kisa kumuunga mkombizi zzk
Ni stateless person kama alivyojiuliza!
Ni stateless person kama alivyojiuliza!
yuda aliwahi kumkomboa nani vile?.Zaidi yaTUMBO lake na hao wafuasi wake, na starehe zake,zaidi ya hapo kazi zingine hizi anazuga tu.kisa kumuunga mkombizi zzk