Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza kuwa Serikali haihusiki na utekaji kama anavyodai aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole
“Serikali haiteki Watu, Polepole asihishutumu serikali kuhusika na utekaji, Mbona hata yeye huko nyuma aliwahi kutajwa kuhusika na utekaji” amesema Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando
Soma pia GE2025 - Albert Msando: Ni kweli Ufisadi upo nchini lakini Rais Samia anapambana nao