Sema huyu evangelical ni nunda, anabishana na wenye akili wakati yeye ni mbumbumbuDogo, natambua hisia zako juu ya siasa za nchi yako na naziheshimu. Kikatiba hiyo ibara ya 90 ndiyo inayompa rais idhini ya kulivunja bunge kwa maana kuwa vikao vya bunge vinakoma tangu alipomaliza hotuba yake. Lakini ni lazima azitangaze kwenye gazeti la serikali ndani ya siku 90 kabla ya uchaguzi na hapo bunge linakoma rasmi. Ndio maana ya muda huo unaouona Hadi agost 3. Naamini umesaidika.
Mwenye akili nani sasa ? Ndio huyo msando aliyeweka hesabu zake za kipumbavu.Sema huyu evangelical ni nunda, anabishana na wenye akili wakati yeye ni mbumbumbu
HaterHaka ka dc kamchongo kapuuzi sana kamepost suala la kusitishwa Bunge halafu kamelimit coment .
Kajamaa kapumbavu sana kana jua kujipendekeza na tokea wamejua Samia ni mpenda Masina wanasifia hadi upumbavu.
Yaani jinsi ulivyompumbavu umeamua kuzuia koment
We Mume wa Gigy Money ndivyo huyo mgonjwa wako gigs alivyokufundisha kwamba kuanzia Novemba 13 ,2020 hadi Agosti 3 ,2025 ni siku 1824?
Ngoja nikuelekeza Nov 13 2020 hadi 31 Dec 2020 ni siku 18
Mwaka2021 hadi 2024 tufanya roughly 365Γ4 = 1460.
January 01 2025 hadi Agost 3 2025 ni siku 214
sasa jumlisha 18+1460+214= 1692.
kimsingi wewe zoba umepotosha kwanza hiki kipengele cha uhai wa bunge katika katiba kipo kimakosa inabidi kibadilishwe kwani kwa mujibu wa sheria za uchaguzi hakiwezekani unless otherwise mtu ataendelea kuwa mbunge hadi pale mbunge mwingine atakapoapishwa .
Kimsingi Tangazo la kusitishwa shughuli za Bunge Tarehe 27 June halafu Bunge litavunjwa 03 Agusti ni hoja mkanganyiko ni kheri huyu Rais wetu kilaza angesema tu Bunge litasitishwa na kuvunjwa hiyo tarehe 3 Agusti angeeleweka
Kwanza umejuaje mimi ni dogo? Naweza kuwa nimekuzidi .Dogo, natambua hisia zako juu ya siasa za nchi yako na naziheshimu. Kikatiba hiyo ibara ya 90 ndiyo inayompa rais idhini ya kulivunja bunge kwa maana kuwa vikao vya bunge vinakoma tangu alipomaliza hotuba yake. Lakini ni lazima azitangaze kwenye gazeti la serikali ndani ya siku 90 kabla ya uchaguzi na hapo bunge linakoma rasmi. Ndio maana ya muda huo unaouona Hadi agost 3. Naamini umesaidika.
Kama ID yangu inakuchanganya ukazani mimi ni mlokole umepotea sana.
ChawaHater
NeverChawa
Wewe bwege unasoma katiba kama novel za Eric Shigongo, soma kwa kuelewaMwenye akili nani sasa ? Ndio huyo msando aliyeweka hesabu zake za kipumbavu.
Ukisoma.kwa makini hiyo ibara ya 90 kuhusu kuvunjwa kwa bunge ina ukakasi na ndio maana wajingawajinga kama nyie na huyo msando mnaitumia kupotosha .
Tangazo kwenye gazeti la serikali si lingetoka na kusema bunge limevunja tatehe 27/06./2025 embu acheni kupotosha
Rais anahutubia kuvunja bunge sio eti kusema shughuli za bunge zimesitishwa halafu eti bunge litavunjwa sijui siku gani huko.
Wapi kwenye katiba kunaeleza kwamba Rais anasitisha shughuli za Bunge. KATIBA inaongelea KUVUNJA Bunge na wala sio KUSITISHA shughuli za Bunge .
Embu wewe mwenye akili nieleze maana ya kusitisha shughuli za Bunge na kuvunja Bunge na hilo linapatikana kwenye Ibara ipi ya katiba
Mkuu ukiwa sisiemu kichwa hakiwezi kuwa imaraWewe bwege unasoma katiba kama novel za Eric Shigongo, soma kwa kuelewa
evangelical anawanyoosha kweli hawa chawa πTumepatikana
We una mtindio wa akili, mbwa usiye na adabu utakufa na hayo makasiriko yako. Useless spermHaka ka dc kamchongo kapuuzi sana kamepost suala la kusitishwa Bunge halafu kamelimit coment .
Kajamaa kapumbavu sana kana jua kujipendekeza na tokea wamejua Samia ni mpenda Masina wanasifia hadi upumbavu.
Yaani jinsi ulivyompumbavu umeamua kuzuia koment
We Mume wa Gigy Money ndivyo huyo mgonjwa wako gigs alivyokufundisha kwamba kuanzia Novemba 13 ,2020 hadi Agosti 3 ,2025 ni siku 1824?
Ngoja nikuelekeza Nov 13 2020 hadi 31 Dec 2020 ni siku 18
Mwaka2021 hadi 2024 tufanya roughly 365Γ4 = 1460.
January 01 2025 hadi Agost 3 2025 ni siku 214
sasa jumlisha 18+1460+214= 1692.
kimsingi wewe zoba umepotosha kwanza hiki kipengele cha uhai wa bunge katika katiba kipo kimakosa inabidi kibadilishwe kwani kwa mujibu wa sheria za uchaguzi hakiwezekani unless otherwise mtu ataendelea kuwa mbunge hadi pale mbunge mwingine atakapoapishwa .
Kimsingi Tangazo la kusitishwa shughuli za Bunge Tarehe 27 June halafu Bunge litavunjwa 03 Agusti ni hoja mkanganyiko ni kheri huyu Rais wetu kilaza angesema tu Bunge litasitishwa na kuvunjwa hiyo tarehe 3 Agusti angeeleweka
Huyo msukule anawanyooshs na nini huo uchafu aliouandika? Huyo akili imejaa kinyesi. Km ye mwanaume ajitokezee asitumie ID feki. Mburukenge hiloevangelical anawanyoosha kweli hawa chawa π
Jibu hoja alizoandika sio unapigapiga kelele tuH
Huyo msukule anawanyooshs na nini huo uchafu aliouandika? Huyo akili imejaa kinyesi. Km ye mwanaume ajitokezee asitumie ID feki. Mburukenge hilo
We una mtindio wa akili, mbwa usiye na adabu utakufa na hayo makasiriko yako. Useless sperm