evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,977
- 9,925
Unajuaje hana? Amefunga comment kwenye hiyo post yake huko InstagramMsando hana acc hapa JF. Ujumbe wako ataupataje ?
Why dont you go and talk to him in person?
Amekukomesha sana. Alijuwa vichwa maji mpo mtakwenda kuchafua page yake kwa umbumbumbu wenuHaka ka dc kamchongo kapuuzi sana kamepost suala la kusitishwa Bunge halafu kamelimit coment .
Kajamaa kapumbavu sana kana jua kujipendekeza na tokea wamejua Samia ni mpenda Masina wanasifia hadi upumbavu.
Yaani jinsi ulivyompumbavu umeamua kuzuia koment
We Mume wa Gigy Money ndivyo huyo mgonjwa wako gigs alivyokufundisha kwamba kuanzia Novemba 13 ,2020 hadi Agosti 3 ,2025 ni siku 1824?
Ngoja nikuelekeza Nov 13 2020 hadi 31 Dec 2020 ni siku 18
Mwaka2021 hadi 2024 tufanya roughly 365×4 = 1460.
January 01 2025 hadi Agost 3 2025 ni siku 214
sasa jumlisha 18+1460+214= 1692.
kimsingi wewe zoba umepotosha kwanza hiki kipengele cha uhai wa bunge katika katiba kipo kimakosa inabidi kibadilishwe kwani kwa mujibu wa sheria za uchaguzi hakiwezekani unless otherwise mtu ataendelea kuwa mbunge hadi pale mbunge mwingine atakapoapishwa .
Kimsingi Tangazo la kusitishwa shughuli za Bunge Tarehe 27 June halafu Bunge litavunjwa 03 Agusti ni hoja mkanganyiko ni kheri huyu Rais wetu kilaza angesema tu Bunge litasitishwa na kuvunjwa hiyo tarehe 3 Agusti angeeleweka
Yeye ndiye mbumbumbu au mjinga na mpotoshaji halafu huyu ndio aina ya viongozi wapotoshaji wanaompotosha hata Rais kwani wamejua wana rais kichwa maji .Amekukomesha sana. Alijuwa vichwa maji mpo mtakwenda kuchafua page yake kwa umbumbumbu wenu
Acha kumtukana Rais kwa umbumbumbu wako. Kwanini usihangaike na Albert Msando peke yake.Yeye ndiye mbumbumbu au mjinga na mpotoshaji halafu huyu ndio aina ya viongozi wapotoshaji wanaompotosha hata Rais kwani wamejua wana rais kichwa maji .
Wamekaa kutoa maposti ya upotoshaji kujikomba kwa Rais huku wamefunga koments kwani wanajua wanapotosha na kuna watu werevu kuwazidi
Watu wengi wamejawa n hisi na mihemuko vitu vidogo kama hivi vinawasumbuaevangelical unamtukana Rais bila sababu. Hebu msikilize Kikwette hapa:-
View attachment 3386657
Hii ilikuwa July 9, 2015. JK alitangaza bunge litavunjwa September, na hvyo hivyo ilifanyika 2020 kwa Magufuli.
Wewe mbumbumbu mpumbavu umetoa wapi hicho kifungu hapo juu .Acha kumtukana Rais kwa umbumbumbu wako. Kwanini usihangaike na Albert Msando peke yake.
Je umeisoma hii :-
Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba:
"Rais atavunja Bunge ikiwa uchaguzi wa Rais au wa wabunge utafanywa ndani ya siku tisini baada ya kuvunjwa kwa Bunge..."
evangelical unamtukana Rais bila sababu. Hebu msikilize Kikwette hapa:-
View attachment 3386657
Hii ilikuwa July 9, 2015. JK alitangaza bunge litavunjwa September, na hvyo hivyo ilifanyika 2020 kwa Magufuli.
Upotoshwaji wa katiba unafanywa hadharani unasema vitu vidogo.Watu wengi wamejawa n hisi na mihemuko vitu vidogo kama hivi vinawasumbua
Chuki zimetawatawala sana hawa akina evangelical hadi zimewafanya wawe vipofu hadi kwenye ubongo. Wancmchukia Rais Samia lakini wajuwe kuwa aliyoyafanya kwa miaka 4 hii yatabakia historia kwa vizazi vijavyo.Watu wengi wamejawa n hisi na mihemuko vitu vidogo kama hivi vinawasumbua
Mpumbavu huwa hajijui ila wengine wote wanamuona kuwa ni mpumbavu. Na Mithali 26:4 imetukataza kubishana na wapumbavu tusije kuwa sawa na waoKwenda huko mbona hujamtolea.mfano Marehemu Magufuli alivyolivunja Bunge hiyo 2020 unaleta kumbukumbu ya nyuma zaidi.
Ndio maana nitaendelea kusema nyie mapumbavu mnaojifanya kumtetea huyu Rais mpumbavu wote ni wapotoshaji .
Pumbavu mkubwa wewe.
Katiba imepotoshwa wapi hapo embu tuambieUpotoshwaji wa katiba unafanywa hadharani unasema vitu vidogo.
Embu peleka uoumbavu wako huko
Sawa mpumbavu endelea na upumbavu na ujinga wako ila nakupa poleMpumbavu huwa hajijui ila wengine wote wanamuona kuwa ni mpumbavu. Na Mithali 26:4 imetukataza kubishana na wapumbavu tusije kuwa sawa na wao
Sawa endelea na upumbavu wako ,yaani wewe ni mpumbavu kabisa kama msando ndio maana mnaandika vitu ambavyo hata havipo .Mpumbavu huwa hajijui ila wengine wote wanamuona kuwa ni mpumbavu. Na Mithali 26:4 imetukataza kubishana na wapumbavu tusije kuwa sawa na wao
Soma andiko la msando amepotosha kabisa katiba ya nchiKatiba imepotoshwa wapi hapo embu tuambie
Dogo, natambua hisia zako juu ya siasa za nchi yako na naziheshimu. Kikatiba hiyo ibara ya 90 ndiyo inayompa rais idhini ya kulivunja bunge kwa maana kuwa vikao vya bunge vinakoma tangu alipomaliza hotuba yake. Lakini ni lazima azitangaze kwenye gazeti la serikali ndani ya siku 90 kabla ya uchaguzi na hapo bunge linakoma rasmi. Ndio maana ya muda huo unaouona Hadi agost 3. Naamini umesaidika.Soma andiko la msando amepotosha kabisa katiba ya nchi
Shangaa kama mimi.Msando hana acc hapa JF. Ujumbe wako ataupataje ?
Why dont you go and talk to him in person?